Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Nikifanya tendo huwa naumia sana kama ndio mara yangu ya kwanza

Nacheka kwa sababu hujasema kinauma nini? Inatakiwa utoombwaa nchi 1 au 2 isifike ndani, otherwise unateswa na tego, jaribu mwanaume mwingine utaona tofauti

Huyu ni wa pili nilipotoka na penyewe ilikuwa hivi hivi nikajua ni upya but na kwa huyu ni vile vile…

Inapouma ni mwanzo anapoanzaa kuingiza na kupampu inaumaa sna
 
Sasa madam… haiumi kwa ndani inauma nnje yaani anapoanzaa kuingizaa na pembeni mwa nyama

Chukulia mfano huu ukiwa umeweka hivi vidoe[emoji108]halafu kipite kitu hapo kati kama kina force hivi sasa pembeni yake laZima kutanuke kuwe kunauma
Pole kipenzi nenda Hospitali! Hio hali ni tangu muda uvoanza kunjunjana au imeanza siku Hizi??
 
Nadhani humu nitapata ushauri wa kitaalamu zaidi

Yaani mimi wakati wa sex ninaumia sana sio kidogo sanaaa imefikia hatua hadi nalia kabisa nashindwa kujizuiaa

Ni kwamba naumiaa… yaani ni kama vile ndio natolewa bikira.. yaani imekuwa kero mpk najisikia vibaya na mpnz wangu wakati mwingine hanielewi anahisi kuwa namuigiziaa, ukweli ni kuwa naumia mno.. na ikipita kama ataanza upya inaanza upya kuuma… yaani kila akitaka kuchomeka inauma sanaaaaa

Ananiandaa vizuri mpk yeye mwenyewe anasema inakuaje naumia wakati sio mkavu[emoji15]

Size yake ni kawaida sema ndiyo hivyo inabidi nijikaze sana ndy ipitee

Nimeshapima magonjwa yote sinaaa kusema labda fungus, PID vyotee sinaaa…

Imekuwa kero sio raha kiasi kwamba ikifika hatua hiyo natamani hata isitokee… ninampenda na nina hisia nae… ni mwanaume wangu wa pekee

Naomba kujua mwenye msaada na hili
. Pole sana, kuzagamuana ni raha sana,

. Tatizo lako litakua ni upungufu wa hormone hasa FSH na LH.
 
Mara nyingi hii Hali inaweza sababishwa na previous experience kama kubakwa, ama ukiwa na stress kwa kipindi unafanya ama wanawake wanaonyonyeshwa na mara nyingine hormone zako haziko sawa zinadecline Hali hiyo si Jambo la kupuuza inaweza sound awkward ila ni Bora kuonanana na specialist anaweza kukupitishia kwenye series ya solutions mpaka hormonal treatment ukawa sawa
 
Una miaka mingapi?

Sawa, anakuandaa vizuri. Je, unaloana? Wakati wa kuingiza, unachukua muda gani kabla ya kuwa mkavu?

Nani alikutoa bikra? Uliridhia kabisa? Ama ni kumbukumbu mbaya za maumivu?

Maumivu haswa ni ya aina gani? Kunapokuuma ni wapi?

Kama ni umepima magonjwa na huna, basi tatizo lako ni la kisaikolojia. Akili ilishajijengea dhana ya maumivu katika kufanya ngono (najua hamjaona).

Nina miaka 26
Nina loa (na ndio maana na yeye anashangaaa maana mpk shuka ina loaa)

Alienitoa bikira sijui kamA niliridhiaa ila hakunibaka

Maumivu ni anapoingizAa na akipump
 
Back
Top Bottom