Kisima kina meter ngapi au ni dimbwi ?Wakuu kisima changu kimejaa vyura kibao. Sasa nimewaza badala ya kujaza vyura si bora nifugie samaki.
Maana kama vyura anaweza ishi samaki pia anaishi. Nataka nitafute niweke Kambale maana ndo naambiwa wana roho ngumu wanaishi hadi kwenye majaruba ya mpunga.
Ushauri
Kambale wa hapa hapa BONGO?Kuna jamaa alikuwa anajenga nyumba ya matope kijijini
Baada ya mwaka mvua kubwa ilinyesha akashangaa kambale anadondoka kutoka kwenye ukuta akiwa hai
Ila kwa kisima sidhani
😳😳Sasa hapo ,🤔itakuwaje any way wafuge ila siuna fuga kwa ajiri ya kitoweo?sipend hasara bas tu
wapi upohawapo kaka, njoo nioneshe
KAmbale mnyama?🤔Kambale ni mnyama anayeishi kwenye maji tu. Kwahiyo inabidi utafute mbegu yake na kuipanda kwenye hilo shimo. Vyura wanaishi nchi kavu na majini. Kwahiyo ukichimba shimo katika mazingira hayo hayo vyura wapo na watatia timu kwenye maji ya shimo. Ukiingiza kamabale wachanga watazaliana na kukua na utavuna!