Nikifugia samaki kwenye kisima watakubali? Kambale

Xi jiping

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2021
Posts
628
Reaction score
920
Wakuu kisima changu kimejaa vyura kibao. Sasa nimewaza badala ya kujaza vyura si bora nifugie samaki.

Maana kama vyura anaweza ishi samaki pia anaishi. Nataka nitafute niweke Kambale maana ndo naambiwa wana roho ngumu wanaishi hadi kwenye majaruba ya mpunga.

Ushauri
 
Kisima kina meter ngapi au ni dimbwi ?
 
Kambale ni mnyama anayeishi kwenye maji tu. Kwahiyo inabidi utafute mbegu yake na kuipanda kwenye hilo shimo. Vyura wanaishi nchi kavu na majini. Kwahiyo ukichimba shimo katika mazingira hayo hayo vyura wapo na watatia timu kwenye maji ya shimo. Ukiingiza kamabale wachanga watazaliana na kukua na utavuna!
 
KAmbale mnyama?🤔
 
Back
Top Bottom