erasto mrishayo
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 157
- 80
Huo ni unafiki maiti huwa haisengenywiiKwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa ruge alikua nazo kuliko msanii yoyote yule....kama ni umaarufu Ruge alikua maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikua na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....
Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?
Just to inform the boastful artists that late Ruge & Kibonde had more dough than them but were humble nonetheless.
Inaonekana amesikia mengi hivyo akaamua arushe jiwe gizani.
Mbona ya Ruge na wasanii hamsemi hayawahusu?hayo ya Mond na babake ni ya familia mimi na wewe tuachane nayo hayatuhusu boss...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mkewe mwenye ushahidi weka hapa, maana inaonekana wajua mengi kuliko yanayowekwa humu mitandaoni....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha shangaa na wewe.Mbona ya Ruge na wasanii hamsemi hayawahusu?
Ebu tuambie tangu lini msanii kawa kioo cha jamiii? Kwani maana ya kioo ni nini?Msanii ni kioo cha jamii, huwezi kumfanyia mzazi wako yasiyostahili halafu utegemee hayatakuwa na impact kwa jamii au mashabiki wako, never....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ommy Dimpoz. Hizi issue za kifamilia hazituhusau.Ebu tuambie tangu lini msanii kawa kioo cha jamiii? Kwani maana ya kioo ni nini?
Alaf nitajie mtu mmoja tu kweny jamii aliemtelekeza baba yake mzaz kwa kumuiga diamond.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kwani Kusaga kasemaje wakati wa mazishi ya Kibonde? Hujamsikia? au alikuwa anajikosha na kufurahisha watu.Haiwezekani wewe uhubiri msamaha na kupendana,wakati wewe huishi kile ulichokizungumza,mwisho wa siku utakuwa MNAFIKI.Yaani clouds waombe kumaliza bifu na rama dee & jide?
Kuwa serious mkuu wataomba wao,clouds ishapasua anga.
wewe unayeishi nao tupe habari kamili na picha kabisa.1.umeingia kwenye mind ya kusaga nakuona anamaanisha hivyo usemavyo?
2.Unaishi na familia ya diamond na kuona kweli hamsaidii baba yake kama asemavyo huyo mzee?
3.Umesikia mahojiano ya queen darlin juzi yanayohusu utunzaji wa baba yao?
Ajikoshe kwanani kaongea ukweli.Kwani Kusaga kasemaje wakati wa mazishi ya Kibonde? Hujamsikia? au alikuwa anajikosha.
Ajikoshe kwanani kaongea ukweli.
Kusaga ana clouds media Rwanda,Zimbabwe, Zambia,Tz & United Arabs.
Pia clouds fm ni namba 3 kwa kusikilizwa zaidi Africa(siyo EAC)
Pia clouds FM ni superbrand radio Africa mashariki kwa mwaka wa 3 mfululizo.
Nataka nikuulize hivyo vyote kusaga anamuhitaji rama dee&jide?
Acha utoto.
Kasema vijana waache nyodo.Hivyo vyombo najua anamiliki,lakini ulimsikia alichokiongea msiban,kazungumzia msamaha na watu wasamehane,akawambia watu pale makaburini wapeane
mikono na moja ya wa maadui zake ni Jidei.Haiwezekani wewe uhubiri msamaha na kupendana,wakati wewe huishi kile ulichokizungumza,mwisho wa siku utakuwa MNAFIKI.
Kasema vijana waache nyodo.
Unafiki u wapi hapo?
Yaani rama dee akiwamisibehave,clouds wao ndio wamwombe msamaha rama dee?
Unawalaumu bure clouds wala si wanafiki.
Ametoa funzo kwa mfano hai kabisa alioushuhudia.
Hapo nahisi kamlenga diamond..mwambieni diamond pesa na umaarufu visimfanye akose utu na kuwa kiburi.pesa na utajiri isiwe kikwazo cha kutosamehe waliokukosea
Hakuna anedumu chini ya jua
Ameweza kuzima kelele za msaidie hawa nitarejea kwa million 50.lakini kagoma kuzipoza hata kwa million moja kelele za msaidie babako anaumwa sana
Hata kama kakukosea unashindwa weka tofauti pembeni akiwa kafa?
Hats kama alikukosea unaahindw msaidia basi kama MTU baki then achana nae ufanye yako unashindwa?
Mwambieni huyu kijana msamaha ndio una baraka kutok kwa muumba.kama hasamehi halafu anenda kuswali sijui nafunga ramadhan yote ni bure..
Asamehe wengine na mwenyezi atamsamehe mauchafu yake.LA sivo asahau pepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusaga has nothing to loss,Anataka to peace.Si walaumu ,kwa kauli ya aliyoizungumza Kusaga manake anataka kutengeneza amani na maadui zake ili kuwa na mwanzo mpya haijalishi wamemkosea au kawakosea na ndio maana kasema tusamehane, si umeitizama video mwisho akawaambia watu wapeane mikono.Sasa ikiwa wewe unashindwa kukiishi unachokinena ,manake umeongea mbele za watu ili kuwafurahisha watu wakati wewe huyaishi maneno yako,sasa kama sio UNAFIKI ni nini.?
OK tumeelewana.Kusaga has nothing to loss,Anataka to peace.
Haya matatizo yamemfundisha kitu.
Hata wao maadui wa CMG yamewafundisha kitu.
Soon yataisha kwa wote.