erasto mrishayo
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 157
- 80
Huo ni unafiki maiti huwa haisengenywiiKwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa ruge alikua nazo kuliko msanii yoyote yule....kama ni umaarufu Ruge alikua maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikua na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....
Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?
Sent using Jamii Forums mobile app