LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mhubiri 3: 1-8Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa Ruge alikuwa nazo kuliko msanii yoyote yule. Kama ni umaarufu Ruge alikuwa maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikuwa na pesa kuliko msanii yoyote yule,lakini leo hii hawapo tena duniani,chuki,dharau,nyodo na majivuno hayana maana tumalize tofauti zetu dunia tunapita"....
Swali ninalojiuliza kwa nini hii kauli imetolewa wakati huu na sio wakati ule?