Nikija kuwa na familia kuna vitu sintoruhusu

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
3,109
Reaction score
6,323
Moja ni kuwaalika ndugu zangu nyumbani kwangu ambapo watoto wangu wanaishi na sio ndugu zangu tu hata ndugu wa mume.

Kingine marafiki , wachungaji ,mazoea sitaki.
Majirani wote siwataki kabisaa .

Na mawatu tu ambao hawajui kwanini wanakuja .

Kwangu pawe kwangu tu hawa watu hawana wema ni wanakuja tu kuharibu maisha ya watoto wako. Kabisa ..... hauoni leo ila baadaye wakitaka kuoa , kupata kazi , kuoelewa, kutafuta riziki hapo sasa mnaanza usumbufu usio hitajika.

Labda huyo mtu awe anajitambua . Aisee maana watu ni wanafiki sana.
 
20240712_091222.jpg
 
Pitia huu uzi kwanza huenda akili yako ikaondokana na utoto unaouwaza
 
Moja ni kuwaalika ndugu zangu nyumbani kwangu ambapo watoto wangu wanaishi na sio ndugu zangu tu hata ndugu wa mume.

Kingine marafiki , wachungaji ,mazoea sitaki.
Majirani wote siwataki kabisaa .

Na mawatu tu ambao hawajui kwanini wanakuja .

Kwangu pawe kwangu tu hawa watu hawana wema ni wanakuja tu kuharibu maisha ya watoto wako. Kabisa ..... hauoni leo ila baadaye wakitaka kuoa , kupata kazi , kuoelewa, kutafuta riziki hapo sasa mnaanza usumbufu usio hitajika.

Labda huyo mtu awe anajitambua . Aisee maana watu ni wanafiki sana.
Kaishi porini tena pori zuri katavi utakutana na majirani waliokufa toka ostabey polisi
 
Back
Top Bottom