Nikikubali mtaniona 'dhaifu' ila nikikataa 'nitaumbuka' zaidi lakini 'nikinyamaza' naweza 'Kunyimwa' zaidi. Je, lipi jema?

Mkuu Gentamycin, kama huyo mzungu alijipendekeza mwenyewe kukupa hela wakati hujamuomba, wala isikusumbue wewe piga kazi.
Nitapigaje Kazi wakati ameshasema kuwa anaenda 'Kuniharibia' kwa Marafiki zangu wengine Wazungu wa Marekani, Uingereza, Sweden na France?
 
kwani popoma mimi ni muuaji?mwana simba mwenzangu unayemkubali kiungo mbovu kabisa aisyejua kukaba anayekimbia kama nungunungu a.k.a mkude anayechukua nafasi ya ally msengi taifa stars bila sababu?
 
kwani popoma mimi ni muuaji?mwana simba mwenzangu unayemkubali kiungo mbovu kabisa aisyejua kukaba anayekimbia kama nungunungu a.k.a mkude anayechukua nafasi ya ally msengi taifa stars bila sababu?
Halafu ni kwanini 'Unamchukia' mno Mdogo wangu Mchezaji niliyemfundisha Mpira na aliyeiga 99% ya Uchezaji wangu Jonas Gerald Mkude Mkuu?
 
Halafu ni kwanini 'Unamchukia' mno Mdogo wangu Mchezaji niliyemfundisha Mpira na aliyeiga 99.9% ya Uchezaji wangu Jonas Gerald Mkude Mkuu?
hahahaha ila popoma unanichekeshaga sana never mind na mambo ya inbox,kausha kiongozi,naipenda sana simba unajua uchebe kuna kipindi alikuwa anamuweka mkude namba 8 sikuelewaga,ni bora akae hapo erasto akae 6...wasaidiane tu kukaba haswa mechi za ugenini,siku mkude akiweza kufanya sliding tackles kama za kina shomari na zimbwe naomba unitumie hiyo clip mimi huwa naona anakita tu miguu tena akiwa late..nafasi yake awekwe ally msengi kama tunataka kufuzu afcon
 
Mbaya wako katoka machame na ujiji. Ambapo aliyewaonesha njia na kuwapa habari za kupeleka ni mwanamke mzungu mtanzania kutokea jirani na kenya kwa watani zangu wa kugecha wanaopenda kula ugali wa mtama na samaki au nyama choma na muda mwingine udaga
 
Ah huyu ni Gentamycine buana "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hebu pata drink kwa mangi nitalipa
 
Kwani na Wewe pia 'umekula' vya 'Wazungu' Mkuu kama Mimi? Na sijui ni 'Mbea' gani kaenda Kunisemea kwa huyu Mzungu huko Ulaya anakoishi.
Kwani huyo Mzungu si alijipendekeza mwenyewe kukupa hiyo hela!? Basi wwe usiwe na wasiwasi fanya yako,kiendacho kwa Mganga hakirudi tena! Kama huyo Mzungu angetaka kujiridhisha Kama kweli una Wagonjwa kwako angejiridhisha kwanza kabla hajakupa hiyo pesa, ambayo pia siyo mbaya sana, maana umeitumia kwenye Kinga! Na Kama wote tujuwavyo kua Kinga ni bora sana kuliko tiba!!
 
Very simple question which can be answered by another question, "kwani zile za Tetemeko la Kagera zilikwenda wapi? Si tulizipeleka kwenye maendeleo ya huo Mkoa kama kukarabati shule na hospitali? Sasa kwa nini uulize hizi za EU?
 
Pole.

Chutama
 
Ila sasa umezidi na wewe hata kama hela haikutumika ndo utumie kwenye sherehe na kuwahonga mahawara yaani wewe hufadhiliki,lakini hata kama ni hvo maisha lazima yaendelee vipi kwani huwezi tafta rafiki mwingine hata mchina?
 
GENTAMYCINE nimeanzisha 'Uchunguzi' rasmi wa kumjua huyu Mtanzania aliyeenda Kunichomea 'Utambi' tu kwa huyu Rafiki yangu Mzungu Ulaya.
Mkuu, Nenda pale Katika Kati ya Jiji la nchi ya Antiokia
Halafu piga Kelele hivi.

Nireteeeeeeeeni Mbeyaaaaaaaaaaa liyenitilia unaaa kwa Wazungu
Nireteeeeeeeeni Mbeyaaaaaaaaaaa liyenitilia unaaa kwa Wazungu
Nireteeeeeeeeni Mbeyaaaaaaaaaaa liyenitilia unaaa kwa Wazungu
 
Kawaida yako Genta', nakumbuka hata kule ziwa magharibi tulipopatwa na dhahama ya lile wimbi Kali linalopimwa kwa Ritcher, ulichukua mchango wetu wa pole ukautafuna wote, baadae ukadai hukuleta hilo wimbi wala ritcher.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…