GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Nitapigaje Kazi wakati ameshasema kuwa anaenda 'Kuniharibia' kwa Marafiki zangu wengine Wazungu wa Marekani, Uingereza, Sweden na France?Mkuu Gentamycin, kama huyo mzungu alijipendekeza mwenyewe kukupa hela wakati hujamuomba, wala isikusumbue wewe piga kazi.