Nikikubali mtaniona 'dhaifu' ila nikikataa 'nitaumbuka' zaidi lakini 'nikinyamaza' naweza 'Kunyimwa' zaidi. Je, lipi jema?

Nikikubali mtaniona 'dhaifu' ila nikikataa 'nitaumbuka' zaidi lakini 'nikinyamaza' naweza 'Kunyimwa' zaidi. Je, lipi jema?

Mkuu Gentamycin, kama huyo mzungu alijipendekeza mwenyewe kukupa hela wakati hujamuomba, wala isikusumbue wewe piga kazi.
Nitapigaje Kazi wakati ameshasema kuwa anaenda 'Kuniharibia' kwa Marafiki zangu wengine Wazungu wa Marekani, Uingereza, Sweden na France?
 
Kama Wewe huogopi na unapenda Kufa mtafute Tundu Lissu kisha mwambie awaombe wale waliomtishia Maisha sasa wahairishe Kwake kwa muda na waanze na Wewe. Na kama hili Zoezi litakuwa gumu Kwako nenda pale Kamata njia ya Treni muulizie Yule Askari Treni ya Mizigo inapita Saa ngapi kisha ukijua muda wake Wewe jilaze katikati ya Mataruma yake huku ukisoma Gazeti lako uende nalo kabisa Udongoni sawa?
kwani popoma mimi ni muuaji?mwana simba mwenzangu unayemkubali kiungo mbovu kabisa aisyejua kukaba anayekimbia kama nungunungu a.k.a mkude anayechukua nafasi ya ally msengi taifa stars bila sababu?
 
kwani popoma mimi ni muuaji?mwana simba mwenzangu unayemkubali kiungo mbovu kabisa aisyejua kukaba anayekimbia kama nungunungu a.k.a mkude anayechukua nafasi ya ally msengi taifa stars bila sababu?
Halafu ni kwanini 'Unamchukia' mno Mdogo wangu Mchezaji niliyemfundisha Mpira na aliyeiga 99% ya Uchezaji wangu Jonas Gerald Mkude Mkuu?
 
Halafu ni kwanini 'Unamchukia' mno Mdogo wangu Mchezaji niliyemfundisha Mpira na aliyeiga 99.9% ya Uchezaji wangu Jonas Gerald Mkude Mkuu?
hahahaha ila popoma unanichekeshaga sana never mind na mambo ya inbox,kausha kiongozi,naipenda sana simba unajua uchebe kuna kipindi alikuwa anamuweka mkude namba 8 sikuelewaga,ni bora akae hapo erasto akae 6...wasaidiane tu kukaba haswa mechi za ugenini,siku mkude akiweza kufanya sliding tackles kama za kina shomari na zimbwe naomba unitumie hiyo clip mimi huwa naona anakita tu miguu tena akiwa late..nafasi yake awekwe ally msengi kama tunataka kufuzu afcon
 
Mbaya wako katoka machame na ujiji. Ambapo aliyewaonesha njia na kuwapa habari za kupeleka ni mwanamke mzungu mtanzania kutokea jirani na kenya kwa watani zangu wa kugecha wanaopenda kula ugali wa mtama na samaki au nyama choma na muda mwingine udaga
 
Ogopa sana kumfanyia Unyangindo (Uhuni) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa Mimi nikawaficha na Kuila kwa 'Kuihongea' na leo 'Wananiumbua' wazi wazi.
Ah huyu ni Gentamycine buana "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hebu pata drink kwa mangi nitalipa
 
Kwani na Wewe pia 'umekula' vya 'Wazungu' Mkuu kama Mimi? Na sijui ni 'Mbea' gani kaenda Kunisemea kwa huyu Mzungu huko Ulaya anakoishi.
Kwani huyo Mzungu si alijipendekeza mwenyewe kukupa hiyo hela!? Basi wwe usiwe na wasiwasi fanya yako,kiendacho kwa Mganga hakirudi tena! Kama huyo Mzungu angetaka kujiridhisha Kama kweli una Wagonjwa kwako angejiridhisha kwanza kabla hajakupa hiyo pesa, ambayo pia siyo mbaya sana, maana umeitumia kwenye Kinga! Na Kama wote tujuwavyo kua Kinga ni bora sana kuliko tiba!!
 
Wenyewe wanalumumba wanashindwa kijibu swali la mabeberu kuhusu walikopeleka pesa za msaada wa kupambana na COVID-19 wanabaki kubwabwaja tu. Mara ooh, vita vya kiuchumi, mara ooh, McAllister anaichukia Tanzania na Magufuli.

Jibuni swali, "Fedha za maaada mmepeleka wapi?
Very simple question which can be answered by another question, "kwani zile za Tetemeko la Kagera zilikwenda wapi? Si tulizipeleka kwenye maendeleo ya huo Mkoa kama kukarabati shule na hospitali? Sasa kwa nini uulize hizi za EU?
 
Ogopa sana kumfanyia Unyangindo (Uhuni) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa Mimi nikawaficha na Kuila kwa 'Kuihongea' na leo 'Wananiumbua' wazi wazi.
Pole.

Chutama
 
Hesabu hizo hapo
IMG-20201120-WA0016.jpg
 
Mkuu tatizo ni kwamba hata katka Hazina ( Akaunti ) yangu nako sasa 'Kumekauka' na 'Sherehe' iliyomalizika hivi karibuni tu nayo imenila sana Pesa. Nilikuwa napanga Kumwomba tena Msaada huyu Rafiki yangu Mzungu ili nikamalizie Bwawa langu la Ng'ombe huko Mto Rufiji na kutengeneza barabara ya Kasi ya kunitoa haraka hapa Dar es Salaam hadi Dodoma na kumalizia vizuri 'Kivuko' changu cha Baharini ambacho kitanirahisishia Mimi kutoka Posta kuja Masaki au Oysterbay kwa 'Mahawara' zangu wakubwa.
Ila sasa umezidi na wewe hata kama hela haikutumika ndo utumie kwenye sherehe na kuwahonga mahawara yaani wewe hufadhiliki,lakini hata kama ni hvo maisha lazima yaendelee vipi kwani huwezi tafta rafiki mwingine hata mchina?
 
GENTAMYCINE nimeanzisha 'Uchunguzi' rasmi wa kumjua huyu Mtanzania aliyeenda Kunichomea 'Utambi' tu kwa huyu Rafiki yangu Mzungu Ulaya.
Mkuu, Nenda pale Katika Kati ya Jiji la nchi ya Antiokia
Halafu piga Kelele hivi.

Nireteeeeeeeeni Mbeyaaaaaaaaaaa liyenitilia unaaa kwa Wazungu
Nireteeeeeeeeni Mbeyaaaaaaaaaaa liyenitilia unaaa kwa Wazungu
Nireteeeeeeeeni Mbeyaaaaaaaaaaa liyenitilia unaaa kwa Wazungu
 
Ogopa sana kumfanyia Unyangindo (Uhuni) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa Mimi nikawaficha na Kuila kwa 'Kuihongea' na leo 'Wananiumbua' wazi wazi.
Kawaida yako Genta', nakumbuka hata kule ziwa magharibi tulipopatwa na dhahama ya lile wimbi Kali linalopimwa kwa Ritcher, ulichukua mchango wetu wa pole ukautafuna wote, baadae ukadai hukuleta hilo wimbi wala ritcher.
 
Back
Top Bottom