Sio kweli kwamba ni awamu iliyoajiri kuliko zilizotangulia. Hizi ni takwimu tu ni rahisi kuzichezea kwa malengo ya kisiasa.
Kuna ongezeko kubwa sana la wanaoingia katika soko la ajira kulinganisha na uwezo wa taasisi zetu kuajiri, hii ni changamoto ya kidunia na hali itakuwa inakwenda kuwa mbaya siku baada ya siku.
Kichekesho ni pale watu waliostaafu wakiendelea kupewa nafasi, huku vijana ambao hawajawahi hata kupata laki moja ya nchi hii wako mtaani!
Kichekesho Kiko wapi Sasa. Mbona ajira zimemwagwa kila Kona through private sector. Wale wawekezaji waliofilisiwa na magi fool wamerudishiw mitaji Yao na hivyo investment zimestawi kwa wingi
Haya yote yalisababaisha na jpm kuhakikisha kwamba bunge lots linakuwa la miccm hata kwa mtu wa bunduki na kuiba.Bado matajiri wengi hawana imani tena na nchi yetu, unapokuwa na nchi ambayo sheria za nchi zinatungwa, ama kufuata tabia binafsi ya kiongozi aliyeko madarakani, ni nadra kupata wawekezaji wa maana au wengi.
Si unataka ajira za kumwaga kama za jk au jk alikuwa chadema?Kwani tumekwambia ccm ni Wana ccm mpaka tutake vyeo vyao
Katika watu ambao dhalimu alifanikiwa kuwabrainwash, ww ulikuwa mmoja wao.
Utashikilia hilohilo ila elewa unachokipenda wewe sio lazima kila mtu akipende, na unachokichukia wewe sio lazima kila mtu akichukie
Jitambue
Kumbuka bajeti ya nchi ni trillion 32 tu halafu ndege zote zimenuniliwa kwa trilli 30Magufuli was very genius. Akili ya akawaida ni ngumu kumuelewa yule mzee. Maana yake ni kuwa hizi ndege ni zenu, zimenunuliwa kwa kodi zenu.
Maana yake ni nini;
1. Watu wataona umuhimu wa kulipa kodi na kudai risiti.
2. Watu wanajengewa uzalendo wa kuthamini vitu vyao sababu wameshirikishwa.
3. Watu wanakuwa na wivu na mali zao sababu ni jasho lao.
4. Lakini pia ni ufahari.
Baba akinunua shamba kisha akawaita watoto na kuwaambia hili shamba ni letu sote mali yetu, kila mtu atajiona anahusika. Ila mzee asiposema chochote au kuwabeba watoto na kuwaonyesha kuwa hili letu basi vijana wataishia kusema shamba la mzee hilo. Na hawatajiona wahusika pengine mpaka baba afe.
Nenda kalime acha ujinga wa kushangaa mahindiBora enzi izo tulikuwa tunashangaa ndege,muda huu maisha yanatushangaa mahindi,dagaa hazishikiki,ukiwa na 10k kama umeshika 1000.
Mama yako ni mwaka wa pili huu si nayeye si atoe ajira kama jk alivyokuwa anafanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani anashindwa kitu gani ?Mbona ndo awamu ambayo kila mwalimu na dk aliyehitimu aliajiriwa moja kwa moja bila kuomba ajira na unemployment rate ilipungua sana. Jpm akaja kuharibi kila kitu
Mimi ni mkulima tangu jadi ila naongelea wasio wakulima!Nenda kalime acha ujinga wa kushangaa mahindi
Kwa hiyo na wewe ulienda huko uwanjani maana unasema nchi nzima mbona mm sikuenda lkn ww ulienda na unajumuisha watu wote kwa nn,weka uzi wako vzr.Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Watu wakiwa nje ya uwanja wanajua kukosoa sana,huwezi kufananisha enzi za walimu wa UPE na kipindi hiki kila chuo cha ualimu kinadhalisha waalimu kwa iyo jpm hakuwa na shida,tatizo utapeleka wapi walimu wote na fedha hakuna na swala hili limepelekea matokeo chanya kwa kuibuka kwa shule za binafsi nyingi.Mama yako ni mwaka wa pili huu si nayeye si atoe ajira kama jk alivyokuwa anafanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani anashindwa kitu gani ?