Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

Sio kweli kwamba ni awamu iliyoajiri kuliko zilizotangulia. Hizi ni takwimu tu ni rahisi kuzichezea kwa malengo ya kisiasa.

Kuna ongezeko kubwa sana la wanaoingia katika soko la ajira kulinganisha na uwezo wa taasisi zetu kuajiri, hii ni changamoto ya kidunia na hali itakuwa inakwenda kuwa mbaya siku baada ya siku.

Kichekesho ni pale watu waliostaafu wakiendelea kupewa nafasi, huku vijana ambao hawajawahi hata kupata laki moja ya nchi hii wako mtaani!
 
Kichekesho Kiko wapi Sasa. Mbona ajira zimemwagwa kila Kona through private sector. Wale wawekezaji waliofilisiwa na magi fool wamerudishiw mitaji Yao na hivyo investment zimestawi kwa wingi

Bado matajiri wengi hawana imani tena na nchi yetu, unapokuwa na nchi ambayo sheria za nchi zinatungwa, ama kufuata tabia binafsi ya kiongozi aliyeko madarakani, ni nadra kupata wawekezaji wa maana au wengi.
 
Haya yote yalisababaisha na jpm kuhakikisha kwamba bunge lots linakuwa la miccm hata kwa mtu wa bunduki na kuiba.
 
Magufuli was very genius. Akili ya akawaida ni ngumu kumuelewa yule mzee. Maana yake ni kuwa hizi ndege ni zenu, zimenunuliwa kwa kodi zenu.

Maana yake ni nini;

1. Watu wataona umuhimu wa kulipa kodi na kudai risiti.
2. Watu wanajengewa uzalendo wa kuthamini vitu vyao sababu wameshirikishwa.
3. Watu wanakuwa na wivu na mali zao sababu ni jasho lao.
4. Lakini pia ni ufahari.

Baba akinunua shamba kisha akawaita watoto na kuwaambia hili shamba ni letu sote mali yetu, kila mtu atajiona anahusika. Ila mzee asiposema chochote au kuwabeba watoto na kuwaonyesha kuwa hili letu basi vijana wataishia kusema shamba la mzee hilo. Na hawatajiona wahusika pengine mpaka baba afe.
 
Katika watu ambao dhalimu alifanikiwa kuwabrainwash, ww ulikuwa mmoja wao.

Utashikilia hilohilo ila elewa unachokipenda wewe sio lazima kila mtu akipende, na unachokichukia wewe sio lazima kila mtu akichukie

Jitambue
 
Utashikilia hilohilo ila elewa unachokipenda wewe sio lazima kila mtu akipende, na unachokichukia wewe sio lazima kila mtu akichukie

Jitambue

Nasema ww ni baadhi ya watu waliokuwa brainwashed kipindi cha yule kiongozi muovu, haina uhusiano na kupenda au kutokupenda. Unakwama wapi?
 
Magufuli was very genius. Akili ya akawaida ni ngumu kumuelewa yule mzee. Maana yake ni kuwa hizi ndege ni zenu, zimenunuliwa kwa kodi zenu.

Maana yake ni nini;

1. Watu wataona umuhimu wa kulipa kodi na kudai risiti.
2. Watu wanajengewa uzalendo wa kuthamini vitu vyao sababu wameshirikishwa.
3. Watu wanakuwa na wivu na mali zao sababu ni jasho lao.
4. Lakini pia ni ufahari.

Baba akinunua shamba kisha akawaita watoto na kuwaambia hili shamba ni letu sote mali yetu, kila mtu atajiona anahusika. Ila mzee asiposema chochote au kuwabeba watoto na kuwaonyesha kuwa hili letu basi vijana wataishia kusema shamba la mzee hilo. Na hawatajiona wahusika pengine mpaka baba afe.
Kumbuka bajeti ya nchi ni trillion 32 tu halafu ndege zote zimenuniliwa kwa trilli 30
 
Rais wako mpendwa wa sasa hana chakutuonesha watanzania alichofanya ,alafu kingine ndige sio matako kila mtu anayo.,pole sana ungejuwa mapema ungemeza P2 ukazuia mimba ya jpm isikupate.
 
Mbona ndo awamu ambayo kila mwalimu na dk aliyehitimu aliajiriwa moja kwa moja bila kuomba ajira na unemployment rate ilipungua sana. Jpm akaja kuharibi kila kitu
Mama yako ni mwaka wa pili huu si nayeye si atoe ajira kama jk alivyokuwa anafanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani anashindwa kitu gani ?
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.

Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.

Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Kwa hiyo na wewe ulienda huko uwanjani maana unasema nchi nzima mbona mm sikuenda lkn ww ulienda na unajumuisha watu wote kwa nn,weka uzi wako vzr.
 
Ulikua unakuta serikali kuu yote na viongozi wa mihimili yote pamoja na MaUVCCM yamejifunga vibwebwe pale Airport wanakata viuno na kugalagala chini kama chatu eti wanasherehekea ndege.

Haya sasa kiko wapi ndege 3 zimekufa zimelala parking.
 
Mama yako ni mwaka wa pili huu si nayeye si atoe ajira kama jk alivyokuwa anafanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani anashindwa kitu gani ?
Watu wakiwa nje ya uwanja wanajua kukosoa sana,huwezi kufananisha enzi za walimu wa UPE na kipindi hiki kila chuo cha ualimu kinadhalisha waalimu kwa iyo jpm hakuwa na shida,tatizo utapeleka wapi walimu wote na fedha hakuna na swala hili limepelekea matokeo chanya kwa kuibuka kwa shule za binafsi nyingi.
 
Back
Top Bottom