Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sio kweli kwamba ni awamu iliyoajiri kuliko zilizotangulia. Hizi ni takwimu tu ni rahisi kuzichezea kwa malengo ya kisiasa.
Kuna ongezeko kubwa sana la wanaoingia katika soko la ajira kulinganisha na uwezo wa taasisi zetu kuajiri, hii ni changamoto ya kidunia na hali itakuwa inakwenda kuwa mbaya siku baada ya siku.
Kichekesho ni pale watu waliostaafu wakiendelea kupewa nafasi, huku vijana ambao hawajawahi hata kupata laki moja ya nchi hii wako mtaani!