Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

Magufuli ndiye Rais Bora kutokea Tanzania. Mnalipwa hela kumtukana mwamba, Wala achafuki sisi tuna Ndege Tena 11, fly over, SGR, daraja la Tanzanite, daraja la busisi, barabara, bwawa la nyerere, vivuko vipya ziwa Victoria na Tanganyika, hospitali za rufaa, madawati na ni vingi mzee huyu amefanya. Tumpe heshima yake.
 
Haya mahela aliyokopa mama yenu pamoja na Tozo chini ya. MAGUFULI Sahizi flyover zote zingekuwa tayari
 
Usisahau uzinduzi wa madaja ya juu
 
Yule mwehu bila kung'olewa roho na baba wa mbinguni angeendelea kulinanisi taifa
Ona sasa wimbi la wajinga na wapumbavu aliowatengeneza.
Kila kitu utasikia angekuwa mzee

mwehu alikufilimba na bado anakufilimba akiwa kaburini,kila ukisikia katajwa njia ya haja kubwa ina vibrate[emoji16][emoji16].

hakuna kitu utafanya zaidi ya kuteseka kwa msongo wa mawazo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kuna maskofu ndiyo waliongoza misa kuziombea ndege...tumetoka mbali jamani watanzania...hiiiii
 
Taifa halijawahi kushindwa kununua ndege, ni kwamba hawakutaka tu waliotangulia.
Bei ya ndege unaijua lakini au umeandika kisiasa tu?. Kumbuka ni miaka mingapi kabla taifa lilishindwa kununua hata hiyo ndege moja tu, shirika la ndege lilikuwa limekufa kabisa na tulikuwa hatujui litafufuka lini.
 
Mbona husemi hivyo kwa mashoga
Utashikilia hilohilo ila elewa unachokipenda wewe sio lazima kila mtu akipende, na unachokichukia wewe sio lazima kila mtu akichukie

Jitambue
 
Kila kila kitu ni mikakati na kipaumbele siyo kukurupukia midege tu ambayo tija yake ni ndogo halafu unaacha mambo ya Msingi yanakufa kid aumepata sifa eti umenunua midege ambayo Sasa hivi IPO kwenye mawe
Hiyo midege mpaka unaiona inakuja ni sehemu ya mikakati ya kiserikali. Ni sehemu ya mambo ya msingi sana kiuchumi, fikiria masuala haya kwa kina utaelewa ni kwanini zinanunuliwa baada ya CEO wa TCAA kuzunguka kwanza katika nchi kadhaa akitengeneza kwanza msingi wa biashara kati ya TZ na mataifa hayo.

Usijidharau wala usilidharau taifa lako, lina watu makini sana.
 
Bajeti ya serikali ni trillion 32 halafu unaenda kununua midege kwa trillion 30 ni akili hiyo? Nchi zenye akili hutumia ppp nenda Qatar utaona ukweli huo
 
Bajeti ya serikali ni trillion 32 halafu unaenda kununua midege kwa trillion 30 ni akili hiyo? Nchi zenye akili hutumia pop nenda Qatar utaona ukweli huo
Hizo bajeti ulizoandika umejitungia, haiwezekani kwa serikali kufanya kitu kama hicho.

Hiyo miradi inayoendelea ingefanyika vipi kwa akili hama hizo ulizozielezea?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…