Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Baada ya jogoo kuwika mara 3, ndipo mfarisayo akamsogelea Mama D na kumuuliza swali,Bado utaona mengi
Tumuombe Mungu uhai tuu
Mfarisayo: Je, na wewe unaonekana ulikua ni mfuasi na mwanafunzi wa nabii jiwe ?
Mama D: Mimi siye (in Petro’s voice)