Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washamba na malimbukeni!! In mwami's voice 🤣🤣🤣🤣🤣Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Mhutu alikuwa mshamba sanaKwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Bei ya ndege unaijua lakini au umeandika kisiasa tu?. Kumbuka ni miaka mingapi kabla taifa lilishindwa kununua hata hiyo ndege moja tu, shirika la ndege lilikuwa limekufa kabisa na tulikuwa hatujui litafufuka lini.Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
UJINGA.....Keshokutwa zinakuja 5 Shaka kaishia kufukuzwa....Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.
Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.
Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Siyo kwamba lilishindwa Bali haikuwa priority kwa sababu serikali yenye akili Huwa haunui ndege cash Bali through pop. Hata marekani hawafanyagi hivyoBei ya ndege unaijua lakini au umeandika kisiasa tu?. Kumbuka ni miaka mingapi kabla taifa lilishindwa kununua hata hiyo ndege moja tu, shirika la ndege lilikuwa limekufa kabisa na tulikuwa hatujui litafufuka lini.
Kulikuwa na ufisadi mkubwa awamu ya tatu na ya nne, tafuta rekodi sahihi zitakueleza kwa kirefu.Siyo kwamba lilishindwa Bali haikuwa priority kwa sababu serikali yenye akili Huwa haunui ndege cash Bali through pop. Hata marekani hawafanyagi hivyo
Mbona awmu ya nne ndo iliajiri zaidi kuliko awamu ya tano ambapo ajira zote zilipigwa Pini machinga ndo ikawa ni kazi ya kufanya.Kulikuwa na ufisadi mkubwa awamu ya tatu na ya nne, tafuta rekodi sahihi zitakueleza kwa kirefu.
Pesa ya kodi yetu kama ipo kwanini ununue ndege kwa mkopo?.
Wizi mtupu ulikuwepo mamlaka ya anga Tanzania. Alipoingia Hamza Johari yakaanza kufanyika mapinduzi makubwa.Mbona awmu ya nne ndo iliajiri zaidi kuliko awamu ya tano ambapo ajira zote zilipigwa Pini machinga ndo ikawa ni kazi ya kufanya.
Mbona ndo awamu ambayo kila mwalimu na dk aliyehitimu aliajiriwa moja kwa moja bila kuomba ajira na unemployment rate ilipungua sana. Jpm akaja kuharibi kila kituWizi mtupu ulikuwepo mamlaka ya anga Tanzania. Alipoingia Hamza Johari yakaanza kufanyika mapinduzi makubwa.
TZ tukapewa tuzo ya viwango kwa mujibu wa ICAO, tulifika asilimia 65 za ubora tofauti na hapo kabla tulipokwama katika asilimia chini ya 37.
Sio kweli kwamba ni awamu iliyoajiri kuliko zilizotangulia. Hizi ni takwimu tu ni rahisi kuzichezea kwa malengo ya kisiasa.Mbona ndo awamu ambayo kila mwalimu na dk aliyehitimu aliajiriwa moja kwa moja bila kuomba ajira na unemployment rate ilipungua sana. Jpm akaja kuharibi kila kitu
Mi nimemaliza kipindi Cha jk naongea kwa uhalisia hakuna dk ambaye Yuko mtaani kipindi chakeSio kweli kwamba ni awamu iliyoajiri kuliko zilizotangulia. Hizi ni takwimu tu ni rahisi kuzichezea kwa malengo ya kisiasa.
Kuna ongezeko kubwa sana la wanaoingia katika soko la ajira kulinganisha na uwezo wa taasisi zetu kuajiri, hii ni changamoto ya kidunia na hali itakuwa inakwenda kuwa mbaya siku baada ya siku.
Nalo nikishanga piaIla haukushangaa Tangazo la Tangazo kutangazwa zaidi ya Tangazo lenyewe ? (Royal Tour) ?!!!!
Tangazo la Kutangaza Utalii la Royal Tour linatangazwa kuliko kuhamasisha watu wafanye kilichopo kwenye tangazo
Nimeona juhudi za Kutangaza nchi (Ni Vema na Haki) ila kuna hili Tangazo la Kutangaza Utalii la Royal Tour nimeona kama sasa linatangazwa na kupewa juhudi yaani ya kuangalia Filamu zaidi hata ya kuhamasisha watu wafanye / waangalie kile ambacho kinatangazwa kwenye hilo Tangazo. Sio vibaya...www.jamiiforums.com
Naam ni Chupa tofauti ile Mvinyo Ule Ule....Nalo nikishanga pia
na ndiyo maana Mwenyezi Mungu alitutolea wanadamu kufahamu yajayo.Wakati hupita kama upepo
Na wewe utakufa ndugu. Kwa njia yoyote ile. Kifo kipo kwa waovu na wasio waovu. Wala sio adhabu ya kundi fulaniYeye ametoa uhai wa watu wangapi. Muosha huoshwa
Nadhani you have very low standards in life (kama unaona hii ndio afadhali); mimi naona bado tupo shimoni na pengine tunapiga hatua za kuelekea nyuma....Afadhari Sasa angalau kuliko enzi zile za giza