Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.

Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.

Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Washamba na malimbukeni!! In mwami's voice 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.

Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.

Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Mhutu alikuwa mshamba sana
 
Inchi za Africa zipo hivyo

Umesahau hata kutangazwa matokeo ya Sensa watu walijaa uwanjani? Na helcopta ikapita na tangazo la watu na makazi
 
Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa.

Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa.

Jamani, hivi huyu mtu angekuwa mpaka sasa yupo si tungekuwa tumewehuka kabisa na maigizo na watu wangeshapotezwa wengi kwa kukosoa ujinga huo.
Bei ya ndege unaijua lakini au umeandika kisiasa tu?. Kumbuka ni miaka mingapi kabla taifa lilishindwa kununua hata hiyo ndege moja tu, shirika la ndege lilikuwa limekufa kabisa na tulikuwa hatujui litafufuka lini.
 
UJINGA.....Keshokutwa zinakuja 5 Shaka kaishia kufukuzwa....
 
Bei ya ndege unaijua lakini au umeandika kisiasa tu?. Kumbuka ni miaka mingapi kabla taifa lilishindwa kununua hata hiyo ndege moja tu, shirika la ndege lilikuwa limekufa kabisa na tulikuwa hatujui litafufuka lini.
Siyo kwamba lilishindwa Bali haikuwa priority kwa sababu serikali yenye akili Huwa haunui ndege cash Bali through pop. Hata marekani hawafanyagi hivyo
 
Kulikuwa na ufisadi mkubwa awamu ya tatu na ya nne, tafuta rekodi sahihi zitakueleza kwa kirefu.

Pesa ya kodi yetu kama ipo kwanini ununue ndege kwa mkopo?.
 
Mbona awmu ya nne ndo iliajiri zaidi kuliko awamu ya tano ambapo ajira zote zilipigwa Pini machinga ndo ikawa ni kazi ya kufanya.
Wizi mtupu ulikuwepo mamlaka ya anga Tanzania. Alipoingia Hamza Johari yakaanza kufanyika mapinduzi makubwa.

TZ tukapewa tuzo ya viwango kwa mujibu wa ICAO, tulifika asilimia 65 za ubora tofauti na hapo kabla tulipokwama katika asilimia chini ya 37.
 
Mbona ndo awamu ambayo kila mwalimu na dk aliyehitimu aliajiriwa moja kwa moja bila kuomba ajira na unemployment rate ilipungua sana. Jpm akaja kuharibi kila kitu
 
Sio kweli kwamba ni awamu iliyoajiri kuliko zilizotangulia. Hizi ni takwimu tu ni rahisi kuzichezea kwa malengo ya kisiasa.

Kuna ongezeko kubwa sana la wanaoingia katika soko la ajira kulinganisha na uwezo wa taasisi zetu kuajiri, hii ni changamoto ya kidunia na hali itakuwa inakwenda kuwa mbaya siku baada ya siku.
 
Mi nimemaliza kipindi Cha jk naongea kwa uhalisia hakuna dk ambaye Yuko mtaani kipindi chake
 
Ila haukushangaa Tangazo la Tangazo kutangazwa zaidi ya Tangazo lenyewe ? (Royal Tour) ?!!!!

Nalo nikishanga pia
 
Afadhari Sasa angalau kuliko enzi zile za giza
Nadhani you have very low standards in life (kama unaona hii ndio afadhali); mimi naona bado tupo shimoni na pengine tunapiga hatua za kuelekea nyuma....

Hivi sio Tanzania watu walipanga mstari kwenda kumuaga mama na wengine kumpokea eti ametoka safari ? Sio nchi hii watu waliacha shughuli za Bunge kujadili / kupongea royal tour (yaani wawikilishi wa wananchi wamekuwa cheerleaders wa Serikali).., kwahio Things are Still Falling Apart...., Au sio huku watu wanajisifia kuwa Chawa ? Na nadhani wanafuata kauli kwamba ukinipapasa utafurahi lakini ukifanya otherwise nitakuparura.....
 
Back
Top Bottom