Nikilala baada ya muda kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwa nguvu na kunibana

Schoolface

Senior Member
Joined
May 7, 2021
Posts
157
Reaction score
166
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.

Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.

Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.

Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
 
M

Punguza uzito na usipende kulala on the spot ukiwa umeshiba sana!

Usilale kwa kuangalia darini au kitumbo juu, lala kwa ubavu sababu ulimi una tabia ya kuziba koo hasa kama unahemea mdomo! Matokeo yake ni kukosa oxygen ya kutosha na kupelekea kuhisi kabali za mbao usingizini.

Lalia mbavu kuanzia leo kisha lete mrejesho!
 
Mimi tatizo kama la jamaa pia ninalo yaani pale usingizi unapoanza kuja tu nahisi kama kitu kinanivaa. Na hubaki kuruka tu hunitokezea muda wowote wa siku hata jana usiku ilitokezea. Mimi mwili wangu wa mazoezi nafanya mazoezi asubuhi na usiku naendesha Baiskeli maili 10. Na kula yangu ya usiku ni matunda tu

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Lalia ubavu mkuu usilale kama marehemu kwenye jeneza! Kisha lete mrejesho
 
Ukija kulala kunywa Konyagi au K vant...aafu leta mrejesho baada ya week
 
Pole mkuu. Inawezekana umeanza hatua za mwanzo za ugonjwa wa Epilepsy au kwa jina lingine seizure disorder.

Ni tatizo la kurithi au mtu anaweza kulipata kama aliumia kichwani (ajali au kujigonga). Nenda hosp kitengo cha mfumo wa fahamu (neurology) utasaidiwa.
 
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.

Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.

Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.

Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
Elimu ya duniani na elimu ya Mungu ni vitu viwili tofauti. Kuna wanaosema unalala vibaya na ndiyo maana hali hii inakutokea na wamebase kutokana na elimu ya dunia.

Lakini amini usiamini kuna ulimwengu wa roho kwenye hii dunia ambapo kuna mfalme na mamlaka za giza, majeshi ya mapepo wabaya na wakuu wa giza.

Hayo yanayokaba ni nguvu za giza. Aidha mapepo, majini au wachawi. Jitafute wewe binafsi. Tizama ni wapi umeanguka ili utubu na kumrudia Mungu wako. Hakika ukitubu na uwe unasali hiyo hali itapotea na hutawahi kuiona. Na hiyo hali ikipotea na ukafanya dhambi tena kwa mfano uzinzi nakuhakikishia siku hiyo hiyo usiku utakabwa tena.
 
Usilale chali,PAKA vicks au kitunguu saumu usoni na kichwani utakapo lala.Pili kwa imani yako omba ulinzi wa Mola wako akuwekee walinzi.
 
Mimi tatizo kama la jamaa pia ninalo yaani pale usingizi unapoanza kuja tu nahisi kama kitu kinanivaa. Na hubaki kuruka tu hunitokezea muda wowote wa siku hata jana usiku ilitokezea. Mimi mwili wangu wa mazoezi nafanya mazoezi asubuhi na usiku naendesha Baiskeli maili 10. Na kula yangu ya usiku ni matunda tu

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Fanya meditation kitapotea
 
M

Punguza uzito na usipende kulala on the spot ukiwa umeshiba sana!

Usilale kwa kuangalia darini au kitumbo juu, lala kwa ubavu sababu ulimi una tabia ya kuziba koo hasa kama unahemea mdomo! Matokeo yake ni kukosa oxygen ya kutosha na kupelekea kuhisi kabali za mbao usingizini.

Lalia mbavu kuanzia leo kisha lete mrejesho!
Ngoja nifanye hivyo
 
Elimu ya duniani na elimu ya Mungu ni vitu viwili tofauti. Kuna wanaosema unalala vibaya na ndiyo maana hali hii inakutokea na wamebase kutokana na elimu ya dunia.

Lakini amini usiamini kuna ulimwengu wa roho kwenye hii dunia ambapo kuna mfalme na mamlaka za giza, majeshi ya mapepo wabaya na wakuu wa giza.

Hayo yanayokaba ni nguvu za giza. Aidha mapepo, majini au wachawi. Jitafute wewe binafsi. Tizama ni wapi umeanguka ili utubu na kumrudia Mungu wako. Hakika ukitubu na uwe unasali hiyo hali itapotea na hutawahi kuiona. Na hiyo hali ikipotea na ukafanya dhambi tena kwa mfano uzinzi nakuhakikishia siku hiyo hiyo usiku utakabwa tena.
Sawa kiongozi
 
Kwanini inatokea
 
Bora kikuue tu mana huko utakapoenda hutakutana na haya mahovyohovyo ya SOLIJALITI FANDI
 
Back
Top Bottom