Aogee chumvi ya mabonge hiyo hali itakataCc. Mshana
💯Unalala vibaya na kuathiri utendaji wa mfumo wako wa upumuaji.
Jaribu kwa wiki moja, lala kwa ubavu pekee, usilale chali wala kulalia tumbo, kisha leta mrejesho hapa.
Unaitumiaje mkuuTumia Damu ya Yesu unapolala.
Bila shaka unalala chali.. (unalalia mgongo ukitizama juu)?Habari wana JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.
Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.
Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.
Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
Mkuu hata mimi hii hali ilishanikuta yaani umelala lakini nusu upo macho yaani unakosa nguvu za kuamka kitandani wala kujigeuza na mdomo kutamka unakuwa mzito nilipoanza kusali yaani kuomba usiku na asubuhi na mwisho katika maombi yangu ninamalizika katika jina la Yesu ninaomba hii hali haijawahi kunirudia tena na ninapenda kulala huku ninatizama dali wataalamu wanasema uti wa mgongo unakuwa umenyooka na upumuaji unakuwa wa kawaida kuliko kulalia tumbo unabana mbavu na upumuaji unakuwa wa shida.Hiyo hali sometimes huwa inanitokea, nafikiri ndo wanaita majinamizi.....lakini kuna hali ilishanitokea miaka mingi sana iliyopita ambapo nilikuwa nimelala mchana, nikajihisi siwezi kunyanyuka kitandani pamoja na kwamba nilijihisi ninazo fahamu za kuamka lakini sikuweza na hali hiyo ilichukua muda mrefu karibu zaidi ya nusu saa......sikuwahi kujua ni kitu gani nikahisi labda wachawi walini tight.
Sory mkuu huo mda wa usiku unalala ukiwa uchi?alafu ukilala usilale chaliHabari wana JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.
Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.
Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.
Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
🤣🤣🤣 wabongo siwawezi.Sory mkuu huo mda wa usiku unalala ukiwa uchi?alafu ukilala usilale chali
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wabongo siwawezi.