Nikilala baada ya muda kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwa nguvu na kunibana

Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.

Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.

Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.

Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
Paroxysmal Nocturnal Dyspnea (PND) ni dalili ya moyo kufeli, wengi wanadhani wanakabwa na jinamizi kumbe moyo unashida, fika hospitali mapema ufanye vipimo stahiki tatizo linaisha
 
Hiyo Ni sleep paralysis inatokea unakuta Ni half sleep paralysis
 
Unalala vibaya na kuathiri utendaji wa mfumo wako wa upumuaji.

Jaribu kwa wiki moja, lala kwa ubavu pekee, usilale chali wala kulalia tumbo, kisha leta mrejesho hapa.

Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.

Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.

Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.

Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.

Hapana, siyo hivyo. Hata mimi niliwahi kuwa katika hali hii na nilishawahi kupewa majibu kama haya uliyoyatoa wewe hapa. Kabla nilikuwa siyo muumini wa mambo ya dini, hii hali ilikuwa inanikumba kila mara. Baada ya kuwa mlokole, imetoweka kimoja, bila kujali nimelala namna gani. Hili swala ni spritual, siyo physical. Hapa naongea kwa kutumia utafiti na siyo kwa kutumia theory za kwenye vitabu vya wengine
 
Unavamiwa mkuu, Yesu pekee wa kukuokoa, serious utawekwa huru kabisa na Yesu, hakuna pepo, jini, jinamizi au mchawi anayeweza kugusa mwili wa mtu aliye na Yesu ndani yake
Mkuu sisi waislam unatupa ushauri gani mkuu?.
 
Elimu ya duniani na elimu ya Mungu ni vitu viwili tofauti. Kuna wanaosema unalala vibaya na ndiyo maana hali hii inakutokea na wamebase kutokana na elimu ya dunia.

Lakini amini usiamini kuna ulimwengu wa roho kwenye hii dunia ambapo kuna mfalme na mamlaka za giza, majeshi ya mapepo wabaya na wakuu wa giza.

Hayo yanayokaba ni nguvu za giza. Aidha mapepo, majini au wachawi. Jitafute wewe binafsi. Tizama ni wapi umeanguka ili utubu na kumrudia Mungu wako. Hakika ukitubu na uwe unasali hiyo hali itapotea na hutawahi kuiona. Na hiyo hali ikipotea na ukafanya dhambi tena kwa mfano uzinzi nakuhakikishia siku hiyo hiyo usiku utakabwa tena.
100% 100% 100% TRUEEEEEE. Hiyo hali ilinitesa sana sana sana, tena huku mwishoni ndo ilikuwa mbaya nilikuwa naamka nimechoka viungo vyote vinauma hata kukanyaga chini nakuwa kama nachechemea kwa maumivu. Wakati mwingine wakati wa kupambana nilikuwa naona kabisa kuna mtu yupo chumbani but siwezi kumuona full, kwa kweli niliteseka. Mpaka siku moja Mchungaji wangu aliniita akaniambia kuna vitu ameonyeshwa juu yangu nisipoangalia vitanimaliza, niombe sana, na kaka angu nae akanipigia simu akaniambia ameonyeshwa the same thing, nikaingia kwenye maombi ya kufunga na kuvunja nguvu zote za giza na mchungaji akinisaidia kuomba, baada ya siku 3 nimetoka kazini kurudi nyumbani ile naingia tu chumbani naanza kuomba aisee nilisikia mzinga chumbani kwangu lakini ulitokea juu kwenye gypsum alafu kama kunakitu kinatapatapa niliogopa sana lakini nakajitia moyo nikaomba tena maombi ya kushukuru, toka siku hiyo ndani kwangu kumekuwa huru na mimi nimekuwa huru najiona kabisa nimeachiliwa, jamani sijasumbuliwa na kitu chochote tena, nalala kama mtoto. Na tangu hapo sitaki kuacha kuomba
 
Hicho kinachokukaba ni pepo wabaya au roho chafu za Ibilisi. Roho hizo chafu huzunguka zunguka duniani wakati wa usiku na kuvizia watu wa kuwasumbua wakiwa wamelala.

Pepo hao huwa active sana mida ya saa tisa usiku mpaka saa tisa na nusu na pia wanaweza kukuvamia muda wowote ule ukiwa umelala.

Unachotakiwa kufanya ni kujitenga na dhambi kabisa kisha uwe unasali mara kwa mara. Yakabidhi maisha yako kwa YESU KRISTO na kwa imani ya KRISTO utayashinda mapepo hayo.

Binafsi nimepambana nayo sana tena sana. Hiyo hali ilianza kunitokea nikiwa bado mdogo kabisa miaka 5 au 7. Kipindi hicho sikujua ni nini. Mama akawa ananiambia hilo ni jinamizi.

Nilipokuwa mtu mzima hali hiyo iliendelea mpaka nilipojifunza ufalme wa MUNGU ndipo nikaelewa hiyo hali ya kukabwa usiku ni kitu gani.

Ilifikia kipindi nikawa nimeshajua kabisa dalili za hizo nguvu kabla hazijanivaa hivyo nikawa nikihisi tu dalili zake naamka kitandani na kuanza kusali kwa imani ya YESU KRISTO.

Naweza sema kwa kiasi fulani nimeshinda hiyo vita maana siku hizi nikilala sina hofu tena. Siyo kama hao pepo hawaji, wanakuja sana mara moja moja, lakini kabla hawajanikaribia haraka kuna taarifa ninaipata na hapo hapo ninaamka na kupambana nao kwa sala na maombi.

Maisha ya UKRISTO ni vita endelevu. Kumbuka maneno ya BWANA YESU KRISTO alisema hivi:
"msidhani yakuwa nalikuja kuleta amani duniani, hapana, bali upanga". Mathayo 10:34

Tena imeandikwa vita yetu sisi siyo vita ya mwili bali ni vita ya roho na pepo wabaya. Waefeso 6:12

Nakutakia mapambano mema. Kwa imani ya YESU KRISTO utashinda na kupata kushinda.
 
Asante sana kwa huu ushuhuda.

Hebu Fikiria: Kuna watu mpaka leo hawaamini kuna nguvu za giza. Hawaamini kabisa kuna wachawi, mapepo na majini. Na kutokuamini kwao hiyo ni plus kwa shetani.

Ni sawasawa mke au mume wako awe anatoka nje ya ndoa na wewe ukiambiwa huamini. Unasema hakuna kitu kama hicho. Mwisho wa siku huyo mke au mume anapeta tu na kufanya yanayompendeza.

Ni sawasawa na shetani. Unaposema hizo sio nguvu za giza unampa mileage shetani ya kuendelea kufanya yake.
 
Ukiwa unalala jitahidi kulalia ubavu wa kulia....halafu leta mrejesho baada ya kulala ivo
 
Hicho kinachokukaba ni pepo wabaya au roho chafu za Ibilisi. Roho hizo chafu huzunguka zunguka duniani wakati wa usiku na kuvizia watu wa kuwasumbua wakiwa wamelala.

Pepo hao huwa active sana mida ya saa tisa usiku mpaka saa tisa na nusu na pia wanaweza kukuvamia muda wowote ule ukiwa umelala.

Unachotakiwa kufanya ni kujitenga na dhambi kabisa kisha uwe unasali mara kwa mara. Yakabidhi maisha yako kwa YESU KRISTO na kwa imani ya KRISTO utayashinda mapepo hayo.

Binafsi nimepambana nayo sana tena sana. Hiyo hali ilianza kunitokea nikiwa bado mdogo kabisa miaka 5 au 7. Kipindi hicho sikujua ni nini. Mama akawa ananiambia hilo ni jinamizi.

Nilipokuwa mtu mzima hali hiyo iliendelea mpaka nilipojifunza ufalme wa MUNGU ndipo nikaelewa hiyo hali ya kukabwa usiku ni kitu gani.

Ilifikia kipindi nikawa nimeshajua kabisa dalili za hizo nguvu kabla hazijanivaa hivyo nikawa nikihisi tu dalili zake naamka kitandani na kuanza kusali kwa imani ya YESU KRISTO.

Naweza sema kwa kiasi fulani nimeshinda hiyo vita maana siku hizi nikilala sina hofu tena. Siyo kama hao pepo hawaji, wanakuja sana mara moja moja, lakini kabla hawajanikaribia haraka kuna taarifa ninaipata na hapo hapo ninaamka na kupambana nao kwa sala na maombi.

Maisha ya UKRISTO ni vita endelevu. Kumbuka maneno ya BWANA YESU KRISTO alisema hivi:
"msidhani yakuwa nalikuja kuleta amani duniani, hapana, bali upanga". Mathayo 10:34

Tena imeandikwa vita yetu sisi siyo vita ya mwili bali ni vita ya roho na pepo wabaya. Waefeso 6:12

Nakutakia mapambano mema. Kwa imani ya YESU KRISTO utashinda na kupata kushinda.
Nilichogundua kwenye maisha yangu, ni kwamba Mungu huwa anatupa indicators kwenye miili yetu kabla hatujavamiwa na nguvu za giza. Hiyo ni kazi ya Roho Mtakatifu. Anatupa ishara mapema sana. Uwe umeokaka au bado.

Ishara mojawapo niliyogundua ni ya kweli na amini, ni ishara ya kutokupata usingizi ambapo sio kawaida.

Mimi nikienda sehemu au nikiwa nyumbani kwangu na muda wa kulala umefika na nipo kitandani na sina ninachowaza ila usingizi haupo na umepotea, huwa najua kabisa kinachofuata ni shambulizi la kiroho.

Hii ndiyo experience yangu. Kipindi cha nyuma, hali ya kukosa usingizi ikiiniijia, nilikuwa naipotezea kwa kutokuomba, na hakika siku hiyo nitakabwa.

Lakini baada ya kulitambua hilo, nikikosa usingizi na nikanyanyuka na kusali na kukemea, basi hali ya kukabwa haiji.

Wakati mwingine unakabwa unapolala usingizi, kwa hiyo usitegemee kila wakati unapokosa usingizi ndiyo mashambulizi yanakuja.

Kikubwa ni kuhakikisha huna tundu kwenye ukuta wako wa ulinzi, kwani dhambi ndiyo huleta tundu na kusababisha adui aingie.
 
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.

Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.

Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.

Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
Pole sana mkuu hili tatizo wanalo wengi mno.

Jaribu kubadirisha mazingira uliopo kwa mda.

Kuna mambo huwa sio mazuri katika baadhi ya mazingira.
 
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.

Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.

Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.

Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
kijana una malaria, acha ubishi kacheck.
 
Kwanza acha kupiga punyenga chooni na tena ukiwa uchi wa nguruwe.pili usilalie mgongo ni bora ukalalia ubavu wa kulia au tumbo.ukilala kama ni muslim tanguliza kusoma visomo kama vile ayat kursiyyu.soma kul audhubirabi nnas na falaq na kulhua Llahu ahad jipulizie mikononi na ujipake mwilini mara tatu tatu.
Tatu jipake mafuta ya zaituni unapolala na utafune punje ya dhaumu.
Nne usisahu kutoa shahada na dula ya kulalia.kama hujaelewa njoo dm
 
Ni wachawi wanakukaba, dawa yao ogea chumvi
 
Back
Top Bottom