Hata Mimi likishawai kunipata kiasi kwamba sikuweza kutamani usiku uungie, maana ilikua kama vile ule usingizi wa maruwe ruwe nusu usingizi nusu macho kitu kinakuja kinakubana/kaba halafu unapata baada ya sekunde chache hali hio inapotea ndio unaamka, ilinisumbua sana nikatafuta ushauri nikambuulia ziro, ikabidi nianze kula kitimoto kila siku, siku moja nikasafiri kuenda mbali nako hio hali ikanitokea, ilinipa huzuni sana nikabidi niwe navuta bangi tangu 2013 mpaka hivi sasa navuta bangi ili nisivamiwe tena na jinamizi.
Sent from my SM-A013G using
JamiiForums mobile app