Nikilala baada ya muda kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwa nguvu na kunibana

Mimi tatizo kama la jamaa pia ninalo yaani pale usingizi unapoanza kuja tu nahisi kama kitu kinanivaa. Na hubaki kuruka tu hunitokezea muda wowote wa siku hata jana usiku ilitokezea. Mimi mwili wangu wa mazoezi nafanya mazoezi asubuhi na usiku naendesha Baiskeli maili 10. Na kula yangu ya usiku ni matunda tu

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.

Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.

Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.

Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
Hili tatizo pia mimi linanietesa sana
 
Post #3 amekupa mwanga. Mimi ilinisumbua Tangia o level . Ila sio uchawi unavyolala hewa haifiki vizuri kwenye brain.
Kuna thread ya madaktari humu if wameelezea vizuri sana na madawa itafute
 
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada jamani kumekua na hili tatizo limekua likinitokea mara kwa mara hasa ninapo lala si mchana si usiku yaani ninapo lala baada ya muda nasikia kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwanguvu kinanibana.

Pengine nakua nahisi mpaka kukosa pumzi kabisa basi nakua kama napambana nacho mpaka ninapo stuka toka usingizini nakua nahema sana jasho linanitoka muda mwingine nakua nahisi kichwa kinagonga na koo kukauka hii mara nyingi inakua ni usiku.

Lakini ninapokua nimepumzika mchana na kupitiwa na usingizi hali hii yenyewe inakua tofauti kidogo yaan naanza kuhisi kama kizungu zungu hivi wakati huo nakua nipo usingizini na muda kidogo nasikia tena kitu kinanivaa mwilini na kunikaba kwa nguvu basi nakua napambana nacho kwa nguvu zote hatimae nakishinda na ndipo ninapo stuka haraka na kutoka usingizini.

Hii kitu imekua ikinisumbua sana mwenye ufaham kuhusu hii kitu naomba anisaidie.
Hali kama hizi huwa zinasababishwa na kukosa mahitaji muhimu ya mwili katika shughuli zake zakila siku (body physiological functions), hasa hasa wakati ukiwa haujitambui (unconscious), mfano; usingizini.

Inategemea na sehemu gani yamwili imekosa hayo mahitaji na ndio itakayokujia ndotoni kua imebanwa. Hii ni kazi ya ubongo ukiwa hujitambui 4 4 4=fo fo fo, kwaiyo ubongo unatafuta njia mbadala yakukushitua ili ukae sawa.

MFANO 1:
Kama mfumo ulioathiliwa ni wa upumuaji labda ulilalia pua hivyo mwili ukawa unakosa hewa (oxygen) yakutosha katika maeneo nyeti (sensitive organs) kama vile ubongo, moja kwa moja hapa ndoto itakayo kujia ni inahusu kubanwa pumzi, Lini?, wapi? na nani?, kiasi gani umebanwa? Ubongo utaoketeza data zilizopo kwenye center husika ya huohuo ubongo, apa itategemea na mazingira unayo pigia shughuli zako.

MFANO 2:
Kuna watu wengine wanaota wamebanwa tumbo sasa hapa mfumo uliohalibiwa ni mfumo wa umeng'enyaji chakula aidha umelala na njaa kali au umelalia tumbo vibaya. Kwahiyo harakati za vimeng'enyo kupambana na ukuta wa tumbo badala ya chakula kule tumboni ubongo unapata breaking news kua mkuu eee!!? kimeumana tumboni uku...! apo ubongo unajua nini cha kufanya.

Kwaiyo mambo mengi ni inakuaga utendaji kazi wakawaida tu wa mwili tusiegemee saana kwa Sir🥁.
 
Pole sana kaka. Hyo n popobawa anakufanyia kazi
 
Hii hali ina maelezo ya kitaalamu kabisa

Ngoja apatikane dokta atakuja na maelezo hapa

Ila kwa kuanzia pitia hapa

Hata Mimi likishawai kunipata kiasi kwamba sikuweza kutamani usiku uungie, maana ilikua kama vile ule usingizi wa maruwe ruwe nusu usingizi nusu macho kitu kinakuja kinakubana/kaba halafu unapata baada ya sekunde chache hali hio inapotea ndio unaamka, ilinisumbua sana nikatafuta ushauri nikambuulia ziro, ikabidi nianze kula kitimoto kila siku, siku moja nikasafiri kuenda mbali nako hio hali ikanitokea, ilinipa huzuni sana nikabidi niwe navuta bangi tangu 2013 mpaka hivi sasa navuta bangi ili nisivamiwe tena na jinamizi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Lalia ubavu mkuu usilale kama marehemu kwenye jeneza! Kisha lete mrejesho
Mimi siamini kama ulalaji huo unatatuzo kwani ndio ulalaji wangu yani hata nilale vipi na ubavu ntajikuta nimelala natizama juu na mikono kifuani
 
Tafuta mto mzuri kutoka dukani achana na mito ya matambara

Mto wako unaminya mishipa ya fahamu
 
wacha kupiga PUNYETO hovyo, goli 2 za asubuhi zinatosha....wewe kila ukilaa unajinyoosha.....mapepo lazima yakuzingue 😎
 
Huo ni uchawi mkuu!! Wachawi wanakuchezea, Kwenye ulimwengu wa Roho ni viumbe halisi ambao, ni mawakala wa shetani, kinachofanyika, wewe ndo kiti cha kukalia , unahitaji ukombozi wa nafsi yako, vingenevyo utakufa mapema sana, kuondokana na tatizo hili, mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wako,yeye ndo mwenye uwezo wa kuikomboa nafsi yako na kuzimu au mauti, tofauti na hapo hamna nyingine mkuu!!
 
Mimi siamini kama ulalaji huo unatatuzo kwani ndio ulalaji wangu yani hata nilale vipi na ubavu ntajikuta nimelala natizama juu na mikono kifuani
Basi sawa mkuu siku utayoamini ndio itakuwa mwisho wa tatizo lako
 
Hali kama hizi huwa zinasababishwa na kukosa mahitaji muhimu ya mwili katika shughuli zake zakila siku (body physiological functions), hasa hasa wakati ukiwa haujitambui (unconscious), mfano; usingizini.

Inategemea na sehemu gani yamwili imekosa hayo mahitaji na ndio itakayokujia ndotoni kua imebanwa. Hii ni kazi ya ubongo ukiwa hujitambui 4 4 4=fo fo fo, kwaiyo ubongo unatafuta njia mbadala yakukushitua ili ukae sawa.

MFANO 1:
Kama mfumo ulioathiliwa ni wa upumuaji labda ulilalia pua hivyo mwili ukawa unakosa hewa (oxygen) yakutosha katika maeneo nyeti (sensitive organs) kama vile ubongo, moja kwa moja hapa ndoto itakayo kujia ni inahusu kubanwa pumzi, Lini?, wapi? na nani?, kiasi gani umebanwa? Ubongo utaoketeza data zilizopo kwenye center husika ya huohuo ubongo, apa itategemea na mazingira unayo pigia shughuli zako.

MFANO 2:
Kuna watu wengine wanaota wamebanwa tumbo sasa hapa mfumo uliohalibiwa ni mfumo wa umeng'enyaji chakula aidha umelala na njaa kali au umelalia tumbo vibaya. Kwahiyo harakati za vimeng'enyo kupambana na ukuta wa tumbo badala ya chakula kule tumboni ubongo unapata breaking news kua mkuu eee!!? kimeumana tumboni uku...! apo ubongo unajua nini cha kufanya.

Kwaiyo mambo mengi ni inakuaga utendaji kazi wakawaida tu wa mwili tusiegemee saana kwa Sir🥁.
Mkuu ungesema subconscious sio unconscious
 
Hata Mimi likishawai kunipata kiasi kwamba sikuweza kutamani usiku uungie, maana ilikua kama vile ule usingizi wa maruwe ruwe nusu usingizi nusu macho kitu kinakuja kinakubana/kaba halafu unapata baada ya sekunde chache hali hio inapotea ndio unaamka, ilinisumbua sana nikatafuta ushauri nikambuulia ziro, ikabidi nianze kula kitimoto kila siku, siku moja nikasafiri kuenda mbali nako hio hali ikanitokea, ilinipa huzuni sana nikabidi niwe navuta bangi tangu 2013 mpaka hivi sasa navuta bangi ili nisivamiwe tena na jinamizi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] tupe mrejesho mkuu, ngada ilisadia au
 
Back
Top Bottom