Nikimwangalia Mutale namwona Saido, ni kama "chumvi" na "mkubwa jiko", Balua ni wa "ligi kuu" tu anga za kimataifa zinampwaya

Nikimwangalia Mutale namwona Saido, ni kama "chumvi" na "mkubwa jiko", Balua ni wa "ligi kuu" tu anga za kimataifa zinampwaya

Machachari lakini sio hatari... Mbembwe nyingi bila madhara.
 
Machachari lakini sio hatari... Mbembwe nyingi bila madhara.
Bila kumvunjia heshima kijana mdogo mwenye kipara Cha mtu mzima (Mutale) ana kazi kubwa ya kufanya kuonyesha yeye wa miaka 22 ni Bora kuliko Saidoo mwenye miaka 34 akiwa apo msimbazi.
 
Kikosi ninacho kiona kuanza first eleven International
1. Kamala
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Che Mallone (ndugu yangu)
5. Hamza
6. Fernandez
7. Ahoa
8. Kagoma.
9. Atteba
10. Mukwala
11. Kibu D.
Ahoa, Mukwala na Ateba wote wana uwezo wa kufunga magoli na Wana nguvu.
Kibu D kawa kimeo ++, uwezo wa kulenga goli ni 0.0. Apelekwe kagera kwa mkopo
 
Back
Top Bottom