DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Machachari lakini sio hatari... Mbembwe nyingi bila madhara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kumvunjia heshima kijana mdogo mwenye kipara Cha mtu mzima (Mutale) ana kazi kubwa ya kufanya kuonyesha yeye wa miaka 22 ni Bora kuliko Saidoo mwenye miaka 34 akiwa apo msimbazi.Machachari lakini sio hatari... Mbembwe nyingi bila madhara.
Kibu D kawa kimeo ++, uwezo wa kulenga goli ni 0.0. Apelekwe kagera kwa mkopoKikosi ninacho kiona kuanza first eleven International
1. Kamala
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Che Mallone (ndugu yangu)
5. Hamza
6. Fernandez
7. Ahoa
8. Kagoma.
9. Atteba
10. Mukwala
11. Kibu D.
Ahoa, Mukwala na Ateba wote wana uwezo wa kufunga magoli na Wana nguvu.
Balua ni mchezaji mzuri mno.
Kibu hajawahi kuwa na kiwango zaidi ya kutumia nguvu bila akiliKibu D kawa kimeo ++, uwezo wa kulenga goli ni 0.0. Apelekwe kagera kwa mkopo