Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Unaakili sana kiongozi wangu, waambie walimu hawaShuleni unatakiwa kupata maarifa na huu ndio muda wa kuyatumia. Kama ulikariri basi sasa mtaa unaenda kukupa maarifa ambayo tàyari wale walioishia lasaba wanayo.