Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini nai-block

Na ndio tatizo la waafrika ubinafsi tu,mwenyewe kuwa na hicho kiduka unajiona ushamaliza la wengine halikuhusu hadi yakukute.Akiniblock akili ndogo huwa nafurahi sana.
Sasa wew ningelia kama wew icho kiduga ningepata utak kufanya kazi mda wote siasa unadhani tundu lisu atakupa ugali
 
Na ndio tatizo la waafrika ubinafsi tu,mwenyewe kuwa na hicho kiduka unajiona ushamaliza la wengine halikuhusu hadi yakukute.Akiniblock akili ndogo huwa nafurahi sana.
Huyo mpuuzi sana,kwanini asijikite kwenye mambo anayoona yanamfaa anakuja kulialia hapa utafikiri ameliwa bure
 
Back
Top Bottom