Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini nai-block

Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini nai-block

Hujielewi wala huelewi unachokiongea siasa ndo inahusika na kujibu hivyo vimaswali vyako vyote ulivyouliza.

We hujui baada ya Trump kuingia ikulu kuna watu wamekosa kazi mpaka huku Tanzania? Kwamaana nyingine ni kwamba Biden alikuwa anawaletea chakula lakini Trump akaja kuchukua, hapo siasa imehusika au haijahusika?

We endelea kujifanya hamnazo au chizi maarifa ili udanganye watu kama kawaida yenu ili muendelee kuneemeka kupitia ujinga wa watanzania
 
Back
Top Bottom