Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini nai-block

Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini nai-block

Kamnunue lie Mama yako godoro kwanza ndo uje ushindane na mimi
Nishindane na wewe Kwa hizo charger za simu na makorokoro ya mtaji wa laki 5 hayo?kwanza hizo ni biashara za demu wangu nimemfungulia mwanamke mwenzio pale kwao Tanga Ili aji keep busy,je na wewe umefunguliwa na Mumeo?
 
Dini na siasa ndio vitu vinavyotumika kumtawala Mwanadamu.

Halafu siasa huwa inaenda sambamba na uchumi.

Kazi ni sehemu ya shughuli ya kiuchumi ambayo haiwezi kuiepuka siasa.

Sasa mkuu ulifikiria vizuri, kabla hujajenga hoja yako
 
Depression zinakusumbua, kaza bwana mdogo. So far hongera kwa kumnunulia mama ako godoro maana sio kwa kutaja taja huko juu. Mungu atakulipa kwa ulichokifanya. Ila ujinga na upuuzi uache, idiot.
 
Depression zinakusumbua, kaza bwana mdogo. So far hongera kwa kumnunulia mama ako godoro maana sio kwa kutaja taja huko juu. Mungu atakulipa kwa ulichokifanya. Ila ujinga na upuuzi uache, idiot.
Certified Idiot 😂😄
 
Back
Top Bottom