Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

Unfortunately tunaambiwa waliokufa huwa kama waliolala. U don't feel anything.
Kimwili sawa lakini sio kiroho

 
Kwamba wangefanya vice versa wasingekufa ?..., All in all ushauri wangu kwa yoyote enjoy life.., do what your heart desires..., Kifo ni Inevitable

Naongelea maisha kutokuwa na maana km kuna kifo..si umeonahiyo mifupa?
 
 
Huu udongo na atoms katika miili yetu zimetokana na Supernova ya zamani kabisa hivyo hilo linathibitisha kuwa tumeumbwa na Mungu.
 
Aiseeee this is very terrifying experience daaah. Lakini wanasema hili ni kwa wenye madhambi, but wale waliofanya ya kumpendeza Mungu malaika wanawapa kampani.
 
Una Option ya Kuchomwa Pia.

Anyway death cease of life, ni kama tu ukiwa kwenye usingizi wa Pono bila Ndoto wala feeling yoyote.

And then, your Walk will Be ended.
Inategemea na aina ya usingizi. Kama ni usingizi wa jinamizi ni balaaaa kabisa.
 
Naongelea maisha kutokuwa na maana km kuna kifo..si umeonahiyo mifupa?
Nope Maisha yana Maana Sana (Kuishi)..., hicho Kifo ni Tamati..., sasa hao ambao wali-enjoy the ride huenda they had it better kuliko wale ambao waliweka akiba enjoyment eti sababu tu watakufa....,

Anyway... A Qoute from one of My Favourite Series

“Someone once asked me if I had learned anything from it all. So let me tell you what I learned. I learned everyone dies alone. But if you meant something to someone... If you helped someone... Or loved someone... If even a single person remembers you... Then maybe you never really die. And maybe... this isn't the end at all”

 
Aiseeee this is very terrifying experience daaah... Lakini wanasema hili ni kwa wenye madhambi, but wale waliofanya ya kumpendeza Mungu malaika wanawapa kampani.
Yeah kiimani iko hivyo kwa baadhi ya imani lakini wengine kuna reincarnation

 
Ni ngumu kumtawala kifikra mtu asiye na hofu. Hiyo ndiyo sababu dini nyingi za kisasa misingi yake ni kuweka masimulizi ya kuogofya ili kuwafanya watu wawe loyal.

Lakini swali dogo tu, hao walioleta dini walikuwa wanasema ukitenda hiki utafanywa hivi, ila wao ndo walikuwa wakatili wakubwa (kuua, kutesa). Kwa nini wao hawakuhofia adhabu ya huyo Mungu waliyekuwa wanamtangaza?

Ila, kwa jinsi gunduzi za maisha na ustaarabu wa kale unavyoendelea kufanyika, naamini ipo siku jamii ya wanadamu itatambua ukweli kuhusu uwepo wao na mtazamo kuhusu uwepo wa maisha utabadilika kabisa.
 
Bora wewe mkuu, mimi nikiyaona makaburi nawaza tu namna tunavyohangaika na dunia kisha tunaishia kufa.

Kuna muda nawaza ningekuwa sina watoto ningekuwa nikipata pesa ya kula tu natulia kufanya ibada tu, ikikaribia kuisha natoka kwenda kutafuta.

Kifo japo ni lazima ila kinanyong'onyeza tukikiwaza.
 
Hiyo hofu ni kwa mtenda, mtendewa hajui lolote wala chochote.
Relax.
 
Acha fix mzee
 
Still huwezi kukikimbia kifo hapa ndio penye maumivu makubwa zaidi
 
Ninaogopa zaidi kufa baada ya kusoma hii, Mshana Jr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…