BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Nilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano.
Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai ni Wana TU wengine ni kaka zake, nothing else,
Jamaa hicho kitu kinamkera sana mpaka wanagombana, karibia Kila siku, na haoni sababu ya kumuacha mana hajamfumania.
Kwa ushauri wangu Mimi Alex, nilijaribu kumwambia nilivo, kwanza nikipenda pisi enzi hizo, nikaisemesha ikakubali kinacho fuata Huwa ni kazi, yes ni kazi naichukulia SEHEM ya mahusiano nayo ni kazi ni wajibu wangu kuilinda kwa uwezo wa mungu inshaallah.
Cha kwanza nilikua sichezi mbali na demu, nilijitahidi anione Kila siku, kama nilikua naishi mbali nilijitahidi kuhamia karibu, ikiwezekana kama kapanga geto mahala au kwao Kuna VYUMBA niaenda kupanga, hii ilinisaidia sana kumsoma mtu tabia zake kabla ya kumuweka moyoni wangu, mapenzi ni juhudi wengi yanatushinda sababu hatuyachukuli serious, tumefanya ni jambo la ziada.
Mpaka maswahaba wamuamini mtume na kumuelewa ilichukua miaka Tisa kuwaandaa, we MWAKA TU tena hata amkai pamoja Usha jihakikishia ni wako, ukikaa karibu utawafahamu maex wake wote utajua Alisha tongozwa na nani na nani.sio mchezo usichukulie poa mahusiano, Hilo ni bomu mara nyingi linalipuka badae mkiwa msha zaa, mna familia, msha funga ndoa ndo vagaranti linaanza, Uzi Kila siku, kulalamika Kila siku, kulazwa polisi, vikao vya usuluhishi Kila siku, hakika tabia ya mtu haijifichi ukiishi NAE utamjua TU hata ajifiche vipi.
Kaba lakini isiwe KERO, hisi zuie kazi zako na isiwe chanzo Cha wewe kuto Fanya kazi kwa ufasaha ila mengine unakaba haswa, ukipuuzia jiandae kuletewa magonjwa, kuchunwa, kufalakana na watu nk. Kaba baba, kaba mama hiyo ni Mali yako. mjini Huwa tuna force mpaka iwe, kaa kijanja mkuu.