Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,723
- 19,715
ahsante kwa kutambua mchango wangu!leo umeongea bonge la point holoholo
ahsante kwa kutambua mchango wangu!leo umeongea bonge la point holoholo
NI KWELI BRO, KAMA UNA AMINI MWANAMKE ANA HAKI YA KULIWA HOVYO MBONA MKICHAPIWA MNA NUNA? AU UNAKUJA HUMU KUONGEA HIVO ILI NAWE UONEKANE MWANAUME HASWA, SIJAMANISHA ETI SITO CHAPIWA HAPANA, NACHO ZUNGUMZIA HAPA NI WAJIBU KAMA MWANAUME KWA MPENZI WAKO HUWEZI MTELEKEZA ETI SIWEZI MLINDA NO KUCHAPIWA TUNACHAPIWA TENA SANA ILA NINA HAKI PIA KULINDA JAPO NAJUA KUWA ANALIWAHiyo ni changamoto ya afya ya akili bro, wala sio kitu cha kujivunia
USIPO MPA MWANAMKE KIPAUMBELE NDO HUFI MAPEMA? SIKU HIZI AJALI HAZIUI TENA SIO?Kilichonileta hapa ni kitu kimoja, sio kwamba ilichukua miaka 9 maswahaba kumuelewa na kumuamini Mtume Rehma na Amani ziwe juu yake,ila ilikuwa kuwajenga waifahamu zaidi tawhid upweke wa ALLAH
Pili sasa hayo yote uliyoyasema na kuyatekeleza si zaidi ya Kazi hiyo? Yani kabisa unajishughulisha kumfuatilia mwanamke
SIKU AMBAYO NILIlALA NA DEMU WA MTU SIO MKE WA MTU,ALIPOENDA SALUNI KUSUKA NA BWANA WAKE ANAJUA DEMU YUPO SALUNI,BAADA YA KUSUKA NIKAWA NAE SEHEMU,KUPIGIWA SIMU AKAJIBU NDIO ANAMALIZIA KUSUKA
SIKU MOJA NATOKA GUEST NASIKIA DEMU NDANI ANAMWAMBIA MUME WAKE " NAWAHI MUME WANGU BUCHANI KUNUNUA NYAMA"
NIMEWAVULIA WANAWAKE KOFIA, WE KUWA NAE TU LAKINI USIMPE KIPAUMBELE UTAKUFA MAPEMA
MMEKUTANA PIPA NA MFUNIKOahsante kwa kutambua mchango wangu!
NYINYI NDO MNAO HAMASISHA USHOGA, HAMJALI SABABU MNAJUA MNAPO ENDAMwanaume mzima kabisa unakaa unamfatilia mtu ambaye tayari ana meno yote 32,mavuzi ameota,matiti na hana bikra? Ya nini kujichosha,si bora nikapige punyeto.
Hiyo ni changamoto ya afya ya akili bro, wala sio kitu cha kujivuNilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano.
Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai ni Wana TU wengine ni kaka zake, nothing else,
Jamaa hicho kitu kinamkera sana mpaka wanagombana, karibia Kila siku, na haoni sababu ya kumuacha mana hajamfumania.
Kwa ushauri wangu Mimi Alex, nilijaribu kumwambia nilivo, kwanza nikipenda pisi enzi hizo, nikaisemesha ikakubali kinacho fuata Huwa ni kazi, yes ni kazi naichukulia SEHEM ya mahusiano nayo ni kazi ni wajibu wangu kuilinda kwa uwezo wa mungu inshaallah.
Cha kwanza nilikua sichezi mbali na demu, nilijitahidi anione Kila siku, kama nilikua naishi mbali nilijitahidi kuhamia karibu, ikiwezekana kama kapanga geto mahala au kwao Kuna VYUMBA niaenda kupanga, hii ilinisaidia sana kumsoma mtu tabia zake kabla ya kumuweka moyoni wangu, mapenzi ni juhudi wengi yanatushinda sababu hatuyachukuli serious, tumefanya ni jambo la ziada.
Mpaka maswahaba wamuamini mtume na kumuelewa ilichukua miaka Tisa kuwaandaa, we MWAKA TU tena hata amkai pamoja Usha jihakikishia ni wako, ukikaa karibu utawafahamu maex wake wote utajua Alisha tongozwa na nani na nani.sio mchezo usichukulie poa mahusiano, Hilo ni bomu mara nyingi linalipuka badae mkiwa msha zaa, mna familia, msha funga ndoa ndo vagaranti linaanza, Uzi Kila siku, kulalamika Kila siku, kulazwa polisi, vikao vya usuluhishi Kila siku, hakika tabia ya mtu haijifichi ukiishi NAE utamjua TU hata ajifiche vipi.
Kaba lakini isiwe KERO, hisi zuie kazi zako na isiwe chanzo Cha wewe kuto Fanya kazi kwa ufasaha ila mengine unakaba haswa, ukipuuzia jiandae kuletewa magonjwa, kuchunwa, kufalakana na watu nk. Kaba baba, kaba mama hiyo ni Mali yako. mjini Huwa tuna force mpaka iwe, kaa kijanja mkuu.
Mbunye kazaliwa nayo, nimchunge nitawezea wapi?NI KWELI BRO, KAMA UNA AMINI MWANAMKE ANA HAKI YA KULIWA HOVYO MBONA MKICHAPIWA MNA NUNA? AU UNAKUJA HUMU KUONGEA HIVO ILI NAWE UONEKANE MWANAUME HASWA, SIJAMANISHA ETI SITO CHAPIWA HAPANA, NACHO ZUNGUMZIA HAPA NI WAJIBU KAMA MWANAUME KWA MPENZI WAKO HUWEZI MTELEKEZA ETI SIWEZI MLINDA NO KUCHAPIWA TUNACHAPIWA TENA SANA ILA NINA HAKI PIA KULINDA JAPO NAJUA KUWA ANALIWA
Bro una tatizo la kutokuelewa mambo unakurupuka SANA jitibu, nmekwmbia HAPO juu kuwa hata NAMI yasha Nikuta mkuu, yameniumiza SANA, ila hapa namzungumzia wajibu wa MWANAMUME KWA mkewe mkeo aje SAA SABA usiku we UMELALA NDANI usihoji? Eti mwanamke hachungwi? HUO ni ujinga Sasa, hata yeye atakudharau, wajibu WAKO WEWE nikumchunga yeye, mambo ya kuchapowa kaka ni AJALI ka AJALI zingine wanachapiwa matajiri seuze WEWE amin nakwambia kutekeleza wajibu ka MWANAMUME ni lazima ndo MANA unambiwa MWANAMUME ni kichwa cha familia ukiteteleka WEWE watoto WAKO watakuwaje?Hiyo ni changamoto ya afya ya akili bro, wala sio kitu cha kujivu
Mbunye kazaliwa nayo, nimchunge nitawezea wapi?
Shika ushauri wangu huu, utakusaidia kwa afya yako ya akili, moyo na mfumo wako mzima kwa afya.
Kwa mwanamke usiwekeze moyo wala akili yako, wekeza kucha na nywele, hata ukivikata vitaota tena
bro una tatizo la kutokuelewa mada ila unakurupuka kuchangia jitibu, uza simu kashughulikie tatiO la kukurupuka, nmekwambia hata mi yasha Nikuta lakini haimanishi ndo tuache simamia familia ZETU, MWANAMUME ni kichwa cha familia Yani unaacha mwanamke arudi SAA SABA usiku eti kisa Huna UWEZO wa kumchunga?Hiyo ni changamoto ya afya ya akili bro, wala sio kitu cha kujivu
Mbunye kazaliwa nayo, nimchunge nitawezea wapi?
Shika ushauri wangu huu, utakusaidia kwa afya yako ya akili, moyo na mfumo wako mzima kwa afya.
Kwa mwanamke usiwekeze moyo wala akili yako, wekeza kucha na nywele, hata ukivikata vitaota tena