BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
UTATAFUTA WANGAPI? MNATANGTANGA SANA UNASTUKA USHA ZEEKA, KWANINI USISAKE MMOJA MPIGANE KIBISHI SIKU ZIENDE?Yote hayo ya nini?
Mwanamke kama hakusikilizi piga chini tafuta mwingine.
Mambo ya kukaa kumrekebisha tabia mtu mzima utajiumiza moyo tu.
KAZI NINAYO MKUU, NA NIKO BUSY HASWA, ILA HAPA TUNAPAMBANA NA ONGEZEKO LA WATOTO WA MTAANI AMBAPO BABA ZAO NDO NYIE WAPENDA KAZI, MNAKIMBIA MAJUKUM KWA MGONGO WA NAFANYA KAZI, MAPENZI YAKIWAVURIGA KIDOGO TU UNASUSA FAMILIATafuta kazi mkuu
HahahaKAZI NINAYO MKUU, NA NIKO BUSY HASWA, ILA HAPA TUNAPAMBANA NA ONGEZEKO LA WATOTO WA MTAANI AMBAPO BABA ZAO NDO NYIE WAPENDA KAZI, MNAKIMBIA MAJUKUM KWA MGONGO WA NAFANYA KAZI, MAPENZI YAKIWAVURIGA KIDOGO TU UNASUSA FAMILIA
Mwanamke mwenye wanaume wengi habadilishiki tabia.UTATAFUTA WANGAPI? MNATANGTANGA SANA UNASTUKA USHA ZEEKA, KWANINI USISAKE MMOJA MPIGANE KIBISHI SIKU ZIENDE?
MKUU HUJANIELEWA, MWANAMKE ANATONGOZWA KILA SIKU AINGIAPO BARABARANI KAKA LABDA ASIWE NA VIGEZO, SASA WEWE UTAMKIMBIA KISA ANATONGOZWA MKUU? HAPO KINACHO FATA NI LIGI KAKA MAISHA NI LIGI ILI WEWE UPATE KAZI AMINI KUNA LIGI KWANZA ILIFANYIKA WE NDO UKAPATA CHAKAMwanamke mwenye wanaume wengi habadilishiki tabia.
Maana huenda wewe unaetaka kumbadili akili sio mwanaume anaekupenda zaidi ya hao wengine.
Wewe ulisema mwanamke mwenye marafiki wengi wa kiume au ulisema kutongozwa?MKUU HUJANIELEWA, MWANAMKE ANATONGOZWA KILA SIKU AINGIAPO BARABARANI KAKA LABDA ASIWE NA VIGEZO, SASA WEWE UTAMKIMBIA KISA ANATONGOZWA MKUU? HAPO KINACHO FATA NI LIGI KAKA MAISHA NI LIGI ILI WEWE UPATE KAZI AMINI KUNA LIGI KWANZA ILIFANYIKA WE NDO UKAPATA CHAKA
SASA KAKA MARAFIKI WA KIUME NI WAPENZI WAKE? MTU AKIKWAMBIA RAFIKI WA KIUME HAMANISHI NI MPENZI WAKE KAKA VIPIWewe ulisema mwanamke mwenye marafiki wengi wa kiume au ulisema kutongozwa?
BASI KAKA KAMA HUWEZI SI TUTAFANYA HIVO, KUMFATILIA NI LAZIMA, UKIPANDA BASI UNAONA BANGO PALE MBELE, ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO, MAANA YAKE WEWE NDO UKO RESPONSIBLE NA MALI YAKO SIO WAO LOLOTE LIKITOKEA UTAJUA WEWE MWENYEWE, SUBIRI KULETA UZI HUMU, MIGOGOGRO YENU INATUHUSI NINI SISI?Mwanaume mzima kabisa unakaa unamfatilia mtu ambaye tayari ana meno yote 32,mavuzi ameota,matiti na hana bikra? Ya nini kujichosha,si bora nikapige punyeto.
Upumbavu mtupu kwani mbunye ya mwanamke ni yako hadi utumie jitihada yote hiyo kuchunga chupi za kike ππ©π©π©π©π―Nilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano.
Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai ni Wana TU wengine ni kaka zake, nothing else,
Jamaa hicho kitu kinamkera sana mpaka wanagombana, karibia Kila siku, na haoni sababu ya kumuacha mana hajamfumania.
Kwa ushauri wangu Mimi Alex, nilijaribu kumwambia nilivo, kwanza nikipenda pisi enzi hizo, nikaisemesha ikakubali kinacho fuata Huwa ni kazi, yes ni kazi naichukulia SEHEM ya mahusiano nayo ni kazi ni wajibu wangu kuilinda kwa uwezo wa mungu inshaallah.
Cha kwanza nilikua sichezi mbali na demu, nilijitahidi anione Kila siku, kama nilikua naishi mbali nilijitahidi kuhamia karibu, ikiwezekana kama kapanga geto mahala au kwao Kuna VYUMBA niaenda kupanga, hii ilinisaidia sana kumsoma mtu tabia zake kabla ya kumuweka moyoni wangu, mapenzi ni juhudi wengi yanatushinda sababu hatuyachukuli serious, tumefanya ni jambo la ziada.
Mpaka maswahaba wamuamini mtume na kumuelewa ilichukua miaka Tisa kuwaandaa, we MWAKA TU tena hata amkai pamoja Usha jihakikishia ni wako, ukikaa karibu utawafahamu maex wake wote utajua Alisha tongozwa na nani na nani.sio mchezo usichukulie poa mahusiano, Hilo ni bomu mara nyingi linalipuka badae mkiwa msha zaa, mna familia, msha funga ndoa ndo vagaranti linaanza, Uzi Kila siku, kulalamika Kila siku, kulazwa polisi, vikao vya usuluhishi Kila siku, hakika tabia ya mtu haijifichi ukiishi NAE utamjua TU hata ajifiche vipi.
Kaba lakini isiwe KERO, hisi zuie kazi zako na isiwe chanzo Cha wewe kuto Fanya kazi kwa ufasaha ila mengine unakaba haswa, ukipuuzia jiandae kuletewa magonjwa, kuchunwa, kufalakana na watu nk. Kaba baba, kaba mama hiyo ni Mali yako. mjini Huwa tuna force mpaka iwe, kaa kijanja mkuu.
Hiyo ni changamoto ya afya ya akili bro, wala sio kitu cha kujivuniaNilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano.
Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai ni Wana TU wengine ni kaka zake, nothing else,
Jamaa hicho kitu kinamkera sana mpaka wanagombana, karibia Kila siku, na haoni sababu ya kumuacha mana hajamfumania.
Kwa ushauri wangu Mimi Alex, nilijaribu kumwambia nilivo, kwanza nikipenda pisi enzi hizo, nikaisemesha ikakubali kinacho fuata Huwa ni kazi, yes ni kazi naichukulia SEHEM ya mahusiano nayo ni kazi ni wajibu wangu kuilinda kwa uwezo wa mungu inshaallah.
Cha kwanza nilikua sichezi mbali na demu, nilijitahidi anione Kila siku, kama nilikua naishi mbali nilijitahidi kuhamia karibu, ikiwezekana kama kapanga geto mahala au kwao Kuna VYUMBA niaenda kupanga, hii ilinisaidia sana kumsoma mtu tabia zake kabla ya kumuweka moyoni wangu, mapenzi ni juhudi wengi yanatushinda sababu hatuyachukuli serious, tumefanya ni jambo la ziada.
Mpaka maswahaba wamuamini mtume na kumuelewa ilichukua miaka Tisa kuwaandaa, we MWAKA TU tena hata amkai pamoja Usha jihakikishia ni wako, ukikaa karibu utawafahamu maex wake wote utajua Alisha tongozwa na nani na nani.sio mchezo usichukulie poa mahusiano, Hilo ni bomu mara nyingi linalipuka badae mkiwa msha zaa, mna familia, msha funga ndoa ndo vagaranti linaanza, Uzi Kila siku, kulalamika Kila siku, kulazwa polisi, vikao vya usuluhishi Kila siku, hakika tabia ya mtu haijifichi ukiishi NAE utamjua TU hata ajifiche vipi.
Kaba lakini isiwe KERO, hisi zuie kazi zako na isiwe chanzo Cha wewe kuto Fanya kazi kwa ufasaha ila mengine unakaba haswa, ukipuuzia jiandae kuletewa magonjwa, kuchunwa, kufalakana na watu nk. Kaba baba, kaba mama hiyo ni Mali yako. mjini Huwa tuna force mpaka iwe, kaa kijanja mkuu.
MBONA UKICHAPIWA UNA NUNA NAKUSARA, KWANI MBUNYE YA KWAKO?Upumbavu mtupu kwani mbunye ya mwanamke ni yako hadi utumie jitihada yote hiyo kuvmchunga chupi za kike ππ©π©π©π©π―
leo umeongea bonge la point holoholoMwanaume mzima kabisa unakaa unamfatilia mtu ambaye tayari ana meno yote 32,mavuzi ameota,matiti na hana bikra? Ya nini kujichosha,si bora nikapige punyeto.