Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

Ukiwa kazini andika sms nataka kula hiki ama kile. Na nikikute juu ya mezq nikifika.
 
Wahuni tuseme mara ngapi kuwa kalio halipiki wala kuosha sufuria??

Mkuu changamoto yako ya kawaida sana,,, inazungumzika na inaisha,, labda kama wewe utaikuza na utaiunganisha na sababu zingine,, ila ikisimama yenyewe inaisha na utakuta msosi tayari....

Jikaze,,Ndoa sio kipaimara
 
Hahahahah hili swali lilikuwa linanikera sana hadi nikaanzishaga uzi humu 😅!

Kipindi ninamfanyia probation moja ya waliokuwa wapenzi wangu miongoni mwa kero ambayo ilinifanya nijiengue ni hii! Yani mwanamke anakuja kukuuliza eti tunapika nini mambo ya hovyo sana 😅
 

Ukishaona hivi, jua shida ni mume sio mke[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Sasa mkuu hapa tunatumia majina fake na hata yeye hajamtaja mkewe kwa majina kamili na by the way huku ni sehemu ya kutoa ya moyoni mana hamjuani na inatoa ahueni kuliko kwenda kumtangaza kwa watu live.
 
Mimi nakushauri kama mwanamke niliyeolewa ongea nae umwambie hupendi na kiafya kuchelewa kula sio vizuri halafu chunguza kinachosababisha achelewe kupika ukute kazi nyingi,kama ni hivyo tafuta namna ya kumpunguzia kazi lakini kama ni makusudi na inakukera sana akichelewa wewe uwe umelala ili kesho ajitahidi.
 
Unafikiri na sisi hatuchoki kuwaza chakula cha kupika. Mwingine anajibu anataka kula nini maana unakuta kazini kala miwali na jioni tena miwali inakinaisha
 
Unafikiri na sisi hatuchoki kuwaza chakula cha kupika. Mwingine anajibu anataka kula nini maana unakuta kazini kala miwali na jioni tena miwali inakinaisha
Hahahhaa mi nataka kula “chicken fried rice” unaweza pika hio? Iwe mexican dish
 
Unasisitiza kauli yako unazani unaingea point mwenyewe kumbe upumbavu

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
😂😂😂. Na mimi nakuangalia ww uliyeingia kwenye ndoa sababu eti jamii inasema lazima mtu uoe.. HALAFU HATA HELA YA HARUSI HAUNA UNANICHANGISHA MIMI.. Baada ya muda ndla inavunjika na jamii hio hio inakucheka ndoa ikivunjika.. upumbavu siku hizi ni kuoa tu bila mpango na wengi ndio mmefanya ivyo. Tunawaangalia tu.
 
Uvumilivu wakati mtu unateseka. Unapata stress kila siku.. eti uwe mvumilivu? Of course lazima ufe mapema sababu ya kuwa na maishi yenye stress kila siku. Solution ni kugoma tu kuoa, na ndio watu tumeamua ivyo siku izi. Yani mpaka kieleweke... Otherwise, ni mtindo wa kuendelea kutafta pesa na bahati nzuri, pesa inatukubali kweli kweli watu ambao hatujaoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…