Nikirudi nyumbani nisipokuta chakula tayari inanikera sana

Hapana si mtu unamuuliza kwa simu kabla hajaja home nikupikie nini akij anakuta chakula tayari
Kuna vyakula vya kupika fasta mfano yupo njian ndio unatenga maji ya ugali akifika anakula ugali fresh
Haya nawaachia mlooana
Ndio mahusiano ya kisasa hayo. Ukimiss haki yako unakwenda kupewa tu😅 nawaelewa sana ma ancestor! Ndio maana walitengewaga vyumba vyao maalum akikaa huko haitaji shobo!
 
We unaonekana mgeni wa hivi viumbe, mwanamke akilipa bill tu hata K hatamani kukupa seuze abebe majukumu yote si utalazwa stoo😅😅😅
 
We unaonekana mgeni wa hivi viumbe, mwanamke akilipa bill tu hata K hatamani kukupa seuze abebe majukumu yote si utalazwa stoo[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. nina uzoefu mdogo tu kaka wa miaka 10 ya ndoa. So bado mengi sijayajua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. nina uzoefu mdogo tu kaka wa miaka 10 ya ndoa. So bado mengi sijayajua
Hahahahahahah jaribu mwezi mmoja kujifanya umefukuzwa kazi ili kuongeza CV yako 😅
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
😂😂 dah
 
Mpandsihe cheo huyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

NB: VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
 
Duh, we jamaa hatari. Huo mda wa kumwambia pika hiki weka au usiweke kile unautoa wapi.?

Muhimu kila kitu kipo home, mpe wife uhuru wa kukuonyesha mapishi yake, usimpangie sana.
 
Bora umenisaidia mkuu yani inakera umuwekee mke kila kitu ndani halafu still aanze na kukuuliza maswali ya kipuuzi! Ndani kuna kila kitu unauliza tena tunakula nini?

Eti mwanamke hawezi kuchanganua akili tu kusema kitu flani hatujala mda mrefu nipikie familia yangu?
 
Duh, we jamaa hatari. Huo mda wa kumwambia pika hiki weka au usiweke kile unautoa wapi.?

Muhimu kila kitu kipo home, mpe wife uhuru wa kukuonyesha mapishi yake, usimpangie sana.
Sasa mke anashindwa kujiongeza ndio balaa linapokuja😂
 
Kwahio kumsaidia kubeba bao lako unaona hatari mkuu😅
Mtoto ni wenu sio wake pekeyake!
 
Sasa mke anashindwa kujiongeza ndio balaa linapokuja[emoji23]
Mke ndio kila kitu jikoni, anatakiwa ajue nini apike leo, kipi kinafaa kwa familia yake na kipi leo hakifai. Mwanamke akishindwa hapo ana walakini mkubwa sana. La, basi waweke ratiba ya wiki.

Besides, mimi namuona jamaa kama anaingilia uhuru wa mke wake.
 
Wewe kubeba mtoto wako baada ya kazi unaona tatizo? Wenzako tukitoka kazini tunakaa na watoto wetu wewe unaona shida? Halafu ukikaa na mtoto unampa mda yeye kufanya majukumu mengine, mbona it's very simple mkuu.
 
Unakuta mke hajiongezi ila sio tu kujiongeza nilichogundua wanawake wengi ambao hawajui wapike nini ni wale ambao hawana hobby ya jikoni😂!

Kuna wanawake wanapenda kupika balaa yani yeye kupika buffet daily haoni tabu atajipikilisha wali, sauce, nyama ya kuchoma au kukaanga, matunda, juice yani na hapo jikoni hamna spice ambayo utaikosa. Yani siku akiwa free mtakula siku nzima😅.Kuanzia asubuhi bites bites na chai nzuri yenye ladha kamili!

Kutana na mvivu wa jikoni sasa. Ndio hao wa kujinyoosha anasubiri aone sura yako ndio aulize tunapika nini. Chai ni maji na majani kamaliza😅! Akipika ni wali na chuzi la mimaji na nyanya kitungu! Hamna kiungo hata kimoja yani.

Usafi ni 0 !!!
 
Mvivu wa jikoni most probably hata chumbani ni mvivu, na uwezekano wa kuwa mchafu pia ni mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…