Unakuta mke hajiongezi ila sio tu kujiongeza nilichogundua wanawake wengi ambao hawajui wapike nini ni wale ambao hawana hobby ya jikoni[emoji23]!
Kuna wanawake wanapenda kupika balaa yani yeye kupika buffet daily haoni tabu atajipikilisha wali, sauce, nyama ya kuchoma au kukaanga, matunda, juice yani na hapo jikoni hamna spice ambayo utaikosa. Yani siku akiwa free mtakula siku nzima[emoji28].Kuanzia asubuhi bites bites na chai nzuri yenye ladha kamili!
Kutana na mvivu wa jikoni sasa. Ndio hao wa kujinyoosha anasubiri aone sura yako ndio aulize tunapika nini. Chai ni maji na majani kamaliza[emoji28]! Akipika ni wali na chuzi la mimaji na nyanya kitungu! Hamna kiungo hata kimoja yani.
Usafi ni 0 !!!