Nikisema mastaa wenu hawana hela hasa bongo sasa Zari wakwenda kuspend element kwa jina alilonalo?

Hellow africa

Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
Nyie wanawake huwa mnapoteza muda mwingi kufuatilia mambo ya watu. Huyo zari ni nani na anahusika na nini? Tafuta issues za kufanya uwe busy hutopata muda wa kuangalia nani anakunyww na anakula au anakunya wapi. Unataka ukazoe? Get busy.
 
👍👍
 
Hellow africa

Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
Utakuwa mshamba tu...hana hela amekwea pipa toka SA hadi hapa?
Huoni pia ameitwa kibiashara?

Unafikiri alipohojiwa na kusema atakuwa Element ni bahati mbaya?
Lwa taarifa yako amelipwa mpunga mrefu kuja hapo Element
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…