Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Nikwambie kitu mshua....kama alirudi leba mara ya pili ama ya tatu basi fata ushauri wa mkuu hapo juu..atasamehe na atakaa sawa. Unampenda mkeo kiukweli na ndo maana huna amani. As long as aliapologize basi tayari umeshashinda.
Tafuta kizawadi afu kama vipi mtoe out. Ikiwezekana mkalale huko hata weekend kama watt sio wadogo sana. Mpe maneno mazuri..mpetty petty..mpe romances za kutosha and tell her she is your world. Mueleze namna ambavyo unamuappreciate na unapenda amani baina yenu. Tell her nyinyi ni wanandoa, baba na mama wa so and so but express how you love her from your inner soul. Mwambie udhaifu wake ambao unakukwaza na ukimaliza mwambie mazuri yake hata kama si yote, asije akavimba kichwa. Na vizuri zaidi umpe nafasi naye aseme kilichopo moyoni kama ni mazuri yako na udhaifu wako unaomuumiza na kumkosesha raha.
Tell her you are sorry kwa kilichopita katikati yenu na myasahau..myazike msonge mbele. Assure her you love her and kama utaweza mpe fungu la maana na umwambie hii ni kwa ajili ya familia na hili ni lako special..liwe la maana sasa mshua sio la kinyonge. Ambalo kwa hali ya uchumi wenu anayoijua ataweza kwenda kununua nguo nzuri, kusuka style nzuri au kufanya chochote atachojisikia. Watoto watakuwa vizuri na amani kama mama yao ana amani.
Kama unampenda mkeo na unapenda familia yako iweke namba moja. Huyo akiwa na amani na urafiki ukawa restored, hata kuna staili ambazo si rahisi za kule kwenyewe kule..yuko radhi kujifunza akufurahishe...🤸. Kujenga urafiki na mkeo na kuirejesha amani is a process so you have to earn it.
Concentrate on her saivi. Focus on your woman..ila mipaka pia iwepo and sikwambii umworship. Love your wife braza..its hard but its a choive you have to make every single day you rise. All the best.
NB: Huu ni ushauri kwa deep kama una ushauri wako na wewe andika. Kama hukubaliani nao please just pass my love.