Mwendazake hayupo, je hizo pesa zimerudishwa?Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere.Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog, low populationsHuwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere.Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Ripoti ya CAG haijasema, huyo mama alisikia wapi?Mwendazake hayupo ,je hizo pesa zimerudishwa ?
AiseeWazungu hawataki tujitawale,wanaamni sisi ni vibarua wao
Mkuu hizo pesa zimerudishwa?Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani?
HakikaAsante, maneno mazito sana haya.
Nimeipakua kwa ajili ya kumbukumbu!
Kwahyo Nyerere alitawala zama ambazo hazina matatizo Wala hiyo imperialism?Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog, low populati...
😀 ngoja tusubiri jibuKwahyo Nyerere alitawala zama ambazo hazina matatizo Wala hiyo imperialism?
Kwenye histioria ya Africa kipindi kigumu kutawala ni kuanzia 1960s mpaka 1990s.
Ali senseRipoti ya CAG haijasema, huyo mama alisikia wapi?
KweliYote aliyoyasema Mwalimu wakati ule ndio yanayofanyika hivi sasa !!
Nani alithibitisha hilo jambo,au uzushi wako na mama yako,*bwa wewe!Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Kawanyima wachina Bandari ya Bagamoyo halafu awapelekee wa mtunzie mapesa?Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Taja akaunti namba na jina la bank tafadhari...Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Wewe acha ujinga! JPM ni mbadala wa JKNHuwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.