Huyo Ngongo ni mpuuzi tuTaja akaunti namba na jina la bank tafadhari...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Ngongo ni mpuuzi tuTaja akaunti namba na jina la bank tafadhari...
Waziri wa China alitua na dege kubwa pale uwanja wa Chato, Akapokelewa na yule msukuma.Kawanyima wachina Bandari ya Bagamoyo halafu awapelekee wa mtunzie mapesa? Alikuwa anawafunga wachina na China hajawahi kwenda, ni sawa na kusema Gadaffi alificha pesa Ulaya.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Daaa ila nchi hii wajinga mpo wengi sanaHuwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Waziri wa China alitua na dege kubwa pale uwanja wa Chato, Akapokelewa na yule msukuma.
Na Ikulu ya Chamwino iko Chato ?Yaani mwendazake aliyejenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato kijini kwake unamlinganisha na Mwalimu Nyerere?
Elezea ujinga uliopo hapo ? Wafuasi wa mwendazake huwa mnachagua ya kuyaamini, msioyayaamini mnaita ni ujingaDaaa ila nchi hii wajinga mpo wengi sana
Na wewe ni mmoja waoElezea ujinga uliopo hapo ? Wafuasi wa mwendazake huwa mnachagua ya kuyaamini, msioyayaamini mnaita ni ujinga
Upuuzi!
Walikuwa lazima waje ata Waziri mkuu wa India aliwahi kuja, Wachina awamu ya Tano waliisoma namba na wahindi, waligeuza nchi mali walikuwa wanaua Tembo wetu kukwepa kodi, kuanzisha viwanda bubu majumbani na kujiungia umeme kiwizi, Magufuli aliwakomesha kweli, hakuna jamii kutoka nje ya Tanzania yenye vibaka na wezi kama wachina.Waziri wa China alitua na dege kubwa pale uwanja wa Chato, Akapokelewa na yule msukuma.
Taka takaNa wewe ni mmoja wao
😆😆😆😆😆Taka taka
Picha kidogoHuwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
😆😆Picha kidogo
Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Noted.Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog, low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Ni Chungu sana?HII SAUTI SIDHANI KAMA NI YA NYERERE. HAPA TUNADANGANYIKA 😬😬
Ushabiki mwingi kuliko ushahidiTaja akaunti namba na jina la bank tafadhari...