Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

Kawanyima wachina Bandari ya Bagamoyo halafu awapelekee wa mtunzie mapesa? Alikuwa anawafunga wachina na China hajawahi kwenda, ni sawa na kusema Gadaffi alificha pesa Ulaya.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Waziri wa China alitua na dege kubwa pale uwanja wa Chato, Akapokelewa na yule msukuma.
 
Waziri wa China alitua na dege kubwa pale uwanja wa Chato, Akapokelewa na yule msukuma.
Walikuwa lazima waje ata Waziri mkuu wa India aliwahi kuja, Wachina awamu ya Tano waliisoma namba na wahindi, waligeuza nchi mali walikuwa wanaua Tembo wetu kukwepa kodi, kuanzisha viwanda bubu majumbani na kujiungia umeme kiwizi, Magufuli aliwakomesha kweli, hakuna jamii kutoka nje ya Tanzania yenye vibaka na wezi kama wachina.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations

Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.
 
Back
Top Bottom