Pole sana kadhia na hongera kwa uzima, Mungu mkubwa na mwingi fanaka.Hello guys!
Asanteni wote mlioniulizia kwa nia njema ya kutaka kujua kama nipo mzima. Ni upendo mkubwa mmenionyesha familia yangu π
Pongezi kwa wote mliotoka na kurudi salama, kwa ndugu zetu mliopoteza maisha ROHO ZENU ZIPUMZIKE MAHALI PEMA.ποΈ Nyie ni mashujaa wetu πͺπ«‘
Tanzania haitowasahau.
Mimi ni mzima ingawa nilipata majeraha kadhaa kwenye maandamano. Na niseme niliponea chupuchupu kupoteza uhai, isingekuwa mwana jeshi kuniokoa..!! Ningekufa (Huyu Kaka abarikiwe na ni mzalendo haswaa) Salute π«‘ kwake.
Nimekuja ili kumshukuru na bahati mbaya kwa situation ilivyokua ile siku nilishindwa kupata mawasiliano yake zaidi ya kunibatiza jina la NIKITA na mimi kuna jina codes (β¦β¦..) nilitumia kumuita km lugha ya mawasiliano yetu..
Naomba kama utapitia uzi huu nitafute pm yangu nitaiacha wazi kwasababu yako. Ukifika taja codes yetu nitajua then niwekee e-mail yako nitakucheck.. π
Dude what's wrong with you? Watu wameuawa wewe kila thread uko busy na maneno ya kejeli why? Unafurahia wanawake kupigwa risasi wakikimbia na watoto wao? Wanawake kupigwa risasi vibarqzani unaleta kejeli? Wewe nibmtu wa aina gani? Hatavhao waliopiga watu risasi sasa hivi akili haziko sawa. Acha mambo ya ajabu wewe.Mange kasema tutoke na kesho wanajeshi wapo pamoja na sisi tuichukue nchi yetu saa 3 asubuhi
Wale waliofanya maandamano ya kihalifu wakachoma mali za watu , walioharibu miundombinu, waliovunja na kuiba mali za watu huku wakiwa wanacheka wamestahili kifo.Dude what's wrong with you? Watu wameuawa wewe kila thread uko busy na maneno ya kejeli why? Unafurahia wanawake kupigwa risasi wakikimbia na watoto wao? Wanawake kupigwa risasi vibarqzani unaleta kejeli? Wewe nibmtu wa aina gani? Hatavhao waliopiga watu risasi sasa hivi akili haziko sawa. Acha mambo ya ajabu wewe.
Huyo ni kichaa hajui hata anataka nini kwenye maisha yake..Dude what's wrong with you? Watu wameuawa wewe kila thread uko busy na maneno ya kejeli why? Unafurahia wanawake kupigwa risasi wakikimbia na watoto wao? Wanawake kupigwa risasi vibarqzani unaleta kejeli? Wewe nibmtu wa aina gani? Hatavhao waliopiga watu risasi sasa hivi akili haziko sawa. Acha mambo ya ajabu wewe.
Kipenzi πKipenzi π₯Ί
Nashukuru kwa upendo wako nimekuta tag zako za kutosha β€οΈ
Naam naam ujumbe umefika kikamlifu kwao , ingawa ni kwa njia ngumu yenye gharama isiyo lipika ila walao wamejua wakati si wa milele, jana na leo ni tofauti sana kadhalika kesho itakuwa tofauti Sana.Amen π
Ilikuwa ni hatari lakini ilileta hamasa zaidi ya kutamani kuonyesha viongozi wananchi tulivyochoshwa na mambo yao ya kutesa wananchi..!!
Humu ndan kila mtu anajua wewe ni *****Mange kasema tutoke na kesho wanajeshi wapo pamoja na sisi tuichukue nchi yetu saa 3 asubuhi
Hiyo ni mental case walahπββοΈπββοΈπββοΈDude what's wrong with you? Watu wameuawa wewe kila thread uko busy na maneno ya kejeli why? Unafurahia wanawake kupigwa risasi wakikimbia na watoto wao? Wanawake kupigwa risasi vibarqzani unaleta kejeli? Wewe nibmtu wa aina gani? Hatavhao waliopiga watu risasi sasa hivi akili haziko sawa. Acha mambo ya ajabu wewe.