Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Bado wewe siku ukijimix tutakuchoma pia PUMBAVUWale waliofanya maandamano ya kihalifu wakachoma mali za watu , walioharibu miundombinu, waliovunja na kuiba mali za watu huku wakiwa wanacheka wamestahili kifo.
Na kwa wale waliopata madhara kutokana na vurugu hizo za wahalifu hali ya kuwa hawakujihusisha na chochote Mungu awaponye, na Marehemu Mungu awalaze mahali pema.
There's no mercy for criminals.
Amen 🙏am glad to see you here wifi, na huwezi amini naingia hapa nawaza mbona sijamuona wifi toka enzi ya hekaheka..!?
thank God naingia tu hapa napatana na thread yako upo mzima.! wewe ni wa dhahabu, unastahili pongezi na nakuombea upone haraka hayo majeraha kiukweli..!🙏🏽🙏🏽
Safari hii hatakufa tena mtu asie na hatia atakufa kila muhalifu atakaeshiriki hayo maandamano yenu ya kihalifu ya kuiba na kuharibu mali za watu.Bado wewe siku ukijimix tutakuchoma pia PUMBAVU
Itakua umezaliwa nao hukujijua tu 😂Bado najiuliza ule ujasiri niliutoa wapi?
Na kweli maana kwa hali ilivyokua inatisha, familia haiwezi kukuelewa kirahisi.Dada yangu amelia anasema nimerogwa 😀
Siyo natukana ndugu zako. Ila wewe ndiyo mwenye akili timamu au anaye jitambua kwenye familia yenu.Bado najiuliza ule ujasiri niliutoa wapi?
Dada yangu amelia anasema nimerogwa 😀
Ashukuliwe Mungu sana!!Hello guys!
Asanteni wote mlioniulizia kwa nia njema ya kutaka kujua kama nipo mzima. Ni upendo mkubwa mmenionyesha familia yangu 😭
Pongezi kwa wote mliotoka na kurudi salama, kwa ndugu zetu mliopoteza maisha ROHO ZENU ZIPUMZIKE MAHALI PEMA.🕊️ Nyie ni mashujaa wetu 💪🫡
Tanzania haitowasahau.
Mimi ni mzima ingawa nilipata majeraha kadhaa kwenye maandamano. Na niseme niliponea chupuchupu kupoteza uhai, isingekuwa mwana jeshi kuniokoa..!! Ningekufa (Huyu Kaka abarikiwe na ni mzalendo haswaa) Salute 🫡 kwake.
Nimekuja ili kumshukuru na bahati mbaya kwa situation ilivyokua ile siku nilishindwa kupata mawasiliano yake zaidi ya kunibatiza jina la NIKITA na mimi kuna jina codes (……..) nilitumia kumuita km lugha ya mawasiliano yetu..
Naomba kama utapitia uzi huu nitafute pm yangu nitaiacha wazi kwasababu yako. Ukifika taja codes yetu nitajua then niwekee e-mail yako nitakucheck.. 🙏
Alituwazisha watu mob sana.Kipenzi 💕
Nashukuru umerudi na uko salama 🙏 I was worried maana sikupati na si kawaida.
Hongera kwa ujasiri na I hope utapona majeraha na kuwa sawa.
Halafu huwezi amini ukiwa kwenye uwanja wa vita unakuwa na hali fulani ambayo hakuna cha kukutisha wala kukuogopesha..!!Itakua umezaliwa nao hukujijua tu 😂
Na kweli maana kwa hali ilivyokua inatisha, familia haiwezi kukuelewa kirahisi.
Hivyo vifo na majeraha tuliyoyaona yanaogopesha 💔
Waliniambia kwanini nimeandamana na wakati naweza kujimudu kimaisha?Siyo natukana ndugu zako. Ila wewe ndiyo mwenye akili timamu au anaye jitambua kwenye familia yenu.
Bahati ipo kwa mtu atakayekuwa mumeo. Bahati kubwa zaidi kwa mwanaume na mwanamke walikuleta duniani.
Wewe ni nembo ya watu wachache waadilifu waliobaki duniani.
Usinichekeshe bado sijarikava mbavu zinauma 😹😹Kwahiyo kinachofata baada ya kumpata ni kumegwa kitumbua si ndiyo, anyway wanaume hatuna bahati maana wanajeshi walituacha tujiokoe wenyewe, kumbe walikuwa wapo bize wanatafuta fursa za vitumbua aiseee!.