Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Umetisha sana hata hivyo siku hiyo kweli mabinti tulikuwa nao wengi sana kwenye maandamano
Ulikua route ipi B 😹
Nilibeba mawe kujaza road mpk mikono imechubuka, kuna mdada nilimwambia mwenzio China nikifunga mzigo mafurushi yangu nabeba mwenyewe ila nikirudi bongo hata vyombo sioshi..!! 🤣
 
Halafu huwezi amini ukiwa kwenye uwanja wa vita unakuwa na hali fulani ambayo hakuna cha kukutisha wala kukuogopesha..!!
Huo ni ujasiri ambao si wengi wamepewa.
Kuna vitu nimevi-experience ambavyo sio vya kawaida kabisa..
Natamani kuandika kila kilichotokea ilikuwa vichekesho, upendo, huzuni na uzalendo ule tuliousoma na kufundishwa mashuleni..!!
Ukisha-recover na kupata nguvu, urudi utuandikie full story
Kuna jamaa alikua comedian na ninavyopenda kucheka sasa alijiita bokasa 😹😹😹 alisema anamtafuta wema ampe mimba ya uzeeni na lazima ajifungue kwa operation eti nyonga zimekaza 🤣
😂 😂 Aiseeeh, bora hata walikuwepo wa kuwachekesha 😂
 
Kwahiyo kucheka bado mbavu zinauma ila kutoa shukurani kwa kumegwa kitumbua upo fiti, we mwanamke ni hatari kwa kweli, anyway hata sisi tulipo tunamaumivu na ngeu kila kona bila kusahau misiba lakini tunacheka tu tutafanyaje sasa aiseee!.
Wabongo mnawaza ngono tu!
Wapi nimesema nataka kumpa kitumbua?

Maumivu niliyonayo nyege zinatoka wapi? Na tumepoteza wenzetu wengi..!!
 
Sio wewe kweli uliekua unaomba namba hovyo na kusema jioni unatukaribisha ghetto unaishi mwenyewe? Ulivaa kofia ukajiziba uso na dareki chini ulivaa bottom nyeusi 😹😹😹
Hapana sio huyo ila

Kuna demu nilimuomba namba Ila alikataa kunipa na nilielewa kwann alikataa, yeye alivaa suruali nyeusi.

Nilivaa bukta ya jeans, kofia nyeusi na dareki nyeusi kuziba sura, hata huyo demu ☝️ nae alivaa kofia na dareki kuziba sura
 
Wabongo mnawaza ngono tu!
Wapi nimesema nataka kumpa kitumbua?

Maumivu niliyonayo nyege zinatoka wapi? Na tumepoteza wenzetu wengi..!!
Aseehhh...achana nae huyo
Jua tu miye nakupenda sana wewe ni shujaa wetu
Siku ukiandika uniite kipenzi
Mungu akulinde na kizazi chake kiwe bora na chenye baraka na ukishika au kukanyaga ushike au ukanyage almas au dhahabu
 
Sehemu zilizokua na wajeda polisi hawakurusha risasi na ndipo kulikua na usalama
Wajeda wana matusi, walivyofika waliniambia pigia simu mabasha zako waje wamewatanguliza mademu zenu tutachukua nchi kweli? 😹😹😹

Hata kama wametusaliti ila wamepambana kutuokoa nyie ambao hamkuwepo kwa ground hamuwezi elewa..!!
 
Wabongo mnawaza ngono tu!
Wapi nimesema nataka kumpa kitumbua?

Maumivu niliyonayo nyege zinatoka wapi? Na tumepoteza wenzetu wengi..!!
Heeee! Unafikiri tunaanzia wapi kuacha kuwaza kwa mfano, acha tupeane bwana tuijaze dunia tufidie pengo la ndugu zetu tuliowapoteza katika sekeseke, tena kipindi hiki ambacho kulikuwa na amri ya kutotoka njee ndicho kipindi ambacho kimezalisha watoto wengi kwa miezi tisa ijayo kuliko kipindi chochote kile hapa nchini.
 
Back
Top Bottom