Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 4,092
- 9,902
Bora hata nimekuona chalii yangu nilikua nasema huyu kinda niaje? Maana ma Gen z mmetisha sanaManzese tip top mwanangu?, zile vurugu za darajani kumbe ulikuwepo?
Bora hata nimekuona chalii yangu nilikua nasema huyu kinda niaje? Maana ma Gen z mmetisha sanaManzese tip top mwanangu?, zile vurugu za darajani kumbe ulikuwepo?
OVERBro wala sijawahi kuhitaji Imani yako, not in this life hata next life.
Janja huku jifungia ndani kuangalia movie wewe?, Maana ukunguru ndio asili ya Tanga.Bora hata nimekuona chalii yangu nilikua nasema huyu kinda niaje? Maana ma Gen z mmetisha sana
Tangu lini kimara anatoka falaJanja huku jifungia ndani kuangalia movie wewe?, Maana ukunguru ndio asili ya Tanga.
Ujanja wote una kaa kimara mwisho?Tangu lini kimara anatoka fala
Sisi ndo wakali wa hayo mambo mdogo angu!!!.
Mitaa ya harakati na kiini Cha mabadiliko, huku lege lege sio mahali penu.Ujanja wote una kaa kimara mwisho?
Bro una kabia juu Sana 😂Pole sana, yaliyotokea ni ya kusikitisha mnoo.
Nitakuja PM sasa hizo sign sikumbuki sababu siku hiyo mambo yalikuwa mengi saana 😂😂
Bore nikae vingunguti kwa kina 007 Vishu MtataMitaa ya harakati na kiini Cha mabadiliko, huku lege lege sio mahali penu.
Ni kosa gani lina stahili kifo chakuuliwa na risasi za moto.?!Ndiyo natambua wapo waliokufa wasio na hatia na wapo waliokufa huku wakiwa wanastahili hicho kifo.
Amen kipenzi ❤️Aseehhh...achana nae huyo
Jua tu miye nakupenda sana wewe ni shujaa wetu
Siku ukiandika uniite kipenzi
Mungu akulinde na kizazi chake kiwe bora na chenye baraka na ukishika au kukanyaga ushike au ukanyage almas au dhahabu
Sema unataka uwe karibu na itungi gest house ya vingunguti, kwa ajili ya bidhaa zenu zile.Bore nikae vingunguti kwa kina 007 Vishu Mtata
😂😂😂 ni mwendo wa “high press” tu 😂😂Bro una kabia juu Sana 😂
We kweli chenga, sasa hivi hata mood ya kukaza sina.Sema unataka uwe karibu na itungi gest house ya vingunguti, kwa ajili ya bidhaa zenu zile.
Kijana wa ovyo sana
Genz wenzako wanawaza kulikomboa taifa na kumuondoa idd Amin mama
Hapa ondoa shaka, Lamomy ni pacha wangu, na mimi silagi familia 😁.😂😂😂 ni mwendo wa “high press” tu 😂😂
Sena mdogo wangu ninapotia mguu nawe umo 😂😂
Nashukuru upo salama baada ya haya mauaji ya halaiki 😔
Oya sio poa, sijawahi kuwaza kuna watanzania wenzetu jau kiasi hiki ile ni hatariHapa ondoa shaka, Lamomy ni pacha wangu, na mimi silagi familia 😁.
uzima muhimu kaka, japo ground hakukuwa fair kabisa.