Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Amejichimbia kitambaa cheupe huyu siyo kweli.Bro una kabia juu Sana
Amejichimbia kitambaa cheupe huyu siyo kweli.Bro una kabia juu Sana
Nilitaka kuanzisha wimbo wa Mungu ibariki bokasa akaniambia achana nayo inaombea viongozi imba Tanzania Tanzania 😹😹😹Huo ni ujasiri ambao si wengi wamepewa.
Ukisha-recover na kupata nguvu, urudi utuandikie full story
😂 😂 Aiseeeh, bora hata walikuwepo wa kuwachekesha 😂
Yote kwa yote kama uliingia road salute sana mdogo anguWe kweli chenga, sasa hivi hata mood ya kukaza sina.
Naishia kutulia zangu na harakati zangu.
Ni kweliWajeda wana matusi, walivyofika waliniambia pigia simu mabasha zako waje wamewatanguliza mademu zenu tutachukua nchi kweli? [emoji81][emoji81][emoji81]
Hata kama wametusaliti ila wamepambana kutuokoa nyie ambao hamkuwepo kwa ground hamuwezi elewa..!!
sawa janja, japo una lazimisha ukubwa wa umri kama vile ni deni.Yote kwa yote kama uliingia road salute sana mdogo angu
Kunakaukweli hapa walahi.Sema unataka uwe karibu na itungi gest house ya vingunguti, kwa ajili ya bidhaa zenu zile.
Kijana wa ovyo sana
Genz wenzako wanawaza kulikomboa taifa na kumuondoa idd Amin mama
😹😹😹 Kuna mmoja alijipaka rangi alikua msumbufu, alivyoona polisi akawaita huku anapiga sarakasi ulimuona? 🤣Hapana sio huyo ila
Kuna demu nilimuomba namba Ila alikataa kunipa na nilielewa kwann alikataa, yeye alivaa suruali nyeusi.
Nilivaa bukta ya jeans, kofia nyeusi na dareki nyeusi kuziba sura, hata huyo demu ☝️ nae alivaa kofia na dareki kuziba sura
Hahaha!sawa janja, japo una lazimisha ukubwa wa umri kama vile ni deni.
Naachaje kwa mfano, nilipoona kigamboni kinyonge nikaingia town, balaa likawa kurudi mtaani, maana ishakuwa wa huku wa huku wa kule wa kule!! Ilibidi niwe kama rambo vileAsante! watu wamekufa vibaya 😭
Maka ulitoka?
Janja ina semekana uli vuta manzi uka ingia gesti wewe.Hahaha!
Jirani na haya nayoendelea kuyaona kwenye video ni huzuni kubwa.Jirani acha tu.
Asante kwa kujali
Huyo jamaa siyo malaika, siku yako Ilikuwa haijafika.Hello guys!
Asanteni wote mlioniulizia kwa nia njema ya kutaka kujua kama nipo mzima. Ni upendo mkubwa mmenionyesha familia yangu 😭
Pongezi kwa wote mliotoka na kurudi salama, kwa ndugu zetu mliopoteza maisha ROHO ZENU ZIPUMZIKE MAHALI PEMA.🕊️ Nyie ni mashujaa wetu 💪🫡
Tanzania haitowasahau.
Mimi ni mzima ingawa nilipata majeraha kadhaa kwenye maandamano. Na niseme niliponea chupuchupu kupoteza uhai, isingekuwa mwana jeshi kuniokoa..!! Ningekufa (Huyu Kaka abarikiwe na ni mzalendo haswaa) Salute 🫡 kwake.
Nimekuja ili kumshukuru na bahati mbaya kwa situation ilivyokua ile siku nilishindwa kupata mawasiliano yake zaidi ya kunibatiza jina la NIKITA na mimi kuna jina codes (……..) nilitumia kumuita km lugha ya mawasiliano yetu..
Naomba kama utapitia uzi huu nitafute pm yangu nitaiacha wazi kwasababu yako. Ukifika taja codes yetu nitajua then niwekee e-mail yako nitakucheck.. 🙏
kila nilivyokua nikimuangalia Binti yule aliyeshika bendera ya tz nilikua nakuonaAsante! watu wamekufa vibaya 😭
Maka ulitoka?
Mbona kuji tetea kwingi, bro ukunguru Ume kupata lini 😂Nakuzingua Lamomy ni mchizi wangu ambae mnaweza mkakutana msibani na mkapiga stori mkacheka chini chini
Hongereni jamaniNaachaje kwa mfano, nilipoona kigamboni kinyonge nikaingia town, balaa likawa kurudi mtaani, maana ishakuwa wa huku wa huku wa kule wa kule!! Ilibidi niwe kama rambo vile
Jambo kubwa kabisa tuko salama, ila haiishi mpaka iishe
Inna lillahi aseehh....Mungu amrehemuHuyo jamaa siyo malaika, siku yako Ilikuwa haijafika.
Kuna jamaa alikuwa anatafuta border ya kwenda kwao, tukawa tumemchorea ramani, wakati sisi wenyewe tunatafuta Chocho ya kuingia mtaani. Tumefurumushwa na marisasi mvua tumekimbia yule jamaa tulie muelekeza border la kwenda kwao ndo alikufa Kwa kupigwa risasi.
Kwa jinsi tulivyofurumushwa kifo nilikuwa nakiona hiki hapa. Naapa Kwa uweza wa MUNGU, hata niacha nianguke katika mikono ya wadhalimu.