makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Nalinda brand 🤣Mbona kuji tetea kwingi, bro ukunguru Ume kupata lini 😂
Nalinda brand 🤣Mbona kuji tetea kwingi, bro ukunguru Ume kupata lini 😂
Acha ujinga basi 😀PM yenyewe umefunga, na mm nisharudi Msangani sahivi may be next time tukionanaView attachment 3497884
Acha ujinga basiMange kasema tutoke na kesho wanajeshi wapo pamoja na sisi tuichukue nchi yetu
Mtu anakula chuma mbeld yako 😔😔😔😹😹😹 Mtu ambaye hakuwepo ataona km utani, ile ilikua km Gaza unakwepa risasi km mishale
Aseehh🤔Mtu anakula chuma mbeld yako 😔😔😔
Natamani niseme ni Mimi alafu ukisema tukutane nije na gwanda ila ndiyo vile yawezekana ulimkariri sura nitakuja alafu uniumbue bure .Asante kaka!
Mimi nilikua kwenye maandamano ile siku sikua dukani.
Jamani 😀Natamani niseme ni Mimi alafu ukisema tukutane nije na gwanda ila ndiyo vile yawezekana ulimkariri sura nitakuja alafu uniumbue bure .
Anyway ,Hongera kwa maandamano ,nafurahi kuona uko salama haijaisha mpaka pale damu za Kaka zetu ,dada zetu na baba zetu zitakapoacha kulilia mioyo yetu 😭😭
TwendeMaandamano yajayo watu wengi watatoka
Watu wana visasi na hivi uende usiende wote mnarushiwa risasi ndo kabisa..!
Hali yangu hairuhusuTwende
Huyu mwache, vi Gen-Z vikimfahamu atajuta kuvifahamu!Nilijua baada ya haya utaacha uchoko, kumbe uko addicted tumeshakupoteza..!!