Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Asante rafiki, vizuri wote tuko salama.
Hata mi binafsi japo sikujui ila kuna madada waliokuwa wanafanya biashara Kariakoo waliouawa nikawa najua moja kwa moja ni wewe miongoni mwao hususani kipindi haupo humu JF.

Nimefurahi kuona upo hai. Pole na majeraha Mungu atakuponya.
 
Asante rafiki 🙏
 
Mimi nimekua mkali sitaki mtu anisemeshe kifua kimejaa picha za waliokua wanapigwa risasi na kudondoka 😭
Utafute mtu wa psychology akusaidie kupunguza huo mfadhaiko, japo kuna majani flani huwa yanasaidia kupunguza hiyo hali, huku sijayaona
 
Nipe maelezo vizuri ya hayo majani pm mahi huenda yakanisaidia..!!

Najikaza nikishtuka na usingizi unakata aargh 😥
 
Back
Top Bottom