Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Hello guys!
Asanteni wote mlioniulizia kwa nia njema ya kutaka kujua kama nipo mzima. Ni upendo mkubwa mmenionyesha familia yangu 😭

Pongezi kwa wote mliotoka na kurudi salama, kwa ndugu zetu mliopoteza maisha ROHO ZENU ZIPUMZIKE MAHALI PEMA.🕊️ Nyie ni mashujaa wetu 💪🫡
Tanzania haitowasahau.

Mimi ni mzima ingawa nilipata majeraha kadhaa kwenye maandamano. Na niseme niliponea chupuchupu kupoteza uhai, isingekuwa mwana jeshi kuniokoa..!! Ningekufa (Huyu Kaka abarikiwe na ni mzalendo haswaa) Salute 🫡 kwake.

Nimekuja ili kumshukuru na bahati mbaya kwa situation ilivyokua ile siku nilishindwa kupata mawasiliano yake zaidi ya kunibatiza jina la NIKITA na mimi kuna jina codes (……..) nilitumia kumuita km lugha ya mawasiliano yetu..

Naomba kama utapitia uzi huu nitafute pm yangu nitaiacha wazi kwasababu yako. Ukifika taja codes yetu nitajua then niwekee e-mail yako nitakucheck.. 🙏
Ni dhahiri mwanajeshi ameniwahi! Si riziki
 
Naam naam ujumbe umefika kikamlifu kwao , ingawa ni kwa njia ngumu yenye gharama isiyo lipika ila walao wamejua wakati si wa milele, jana na leo ni tofauti sana kadhalika kesho itakuwa tofauti Sana.
Hongera sana kwa kujitokeza, jina lako litakuwa kwenye kitabu cha kumbu kumbukumbu bora za taifa hili .
Kitabu Gani? Acheni kudanganyana kama wagonjwa wa akili.
 
Safari hii hatakufa tena mtu asie na hatia atakufa kila muhalifu atakaeshiriki hayo maandamano yenu ya kihalifu ya kuiba na kuharibu mali za watu.
Wasap *****?
Inatafuta kuchokonolewa kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom