Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Waliniambia kwanini nimeandamana na wakati naweza kujimudu kimaisha?

Nilichowajibu, “Mimi sio mbinafsi, napambana na kuwasemea wale ambao hawana wa kuwasemea na kuwapambania.”
Mimi siongezi neno nahisi nitakukosea. Sitaki kupishana kauli nawe.
Naweza kusema tu kwa ufupi na wivu mkubwa natamani ningechelewa kidogo kuzaliwa ningejaribu bahati yangu...
Mkuu nisamehe kwa kauli hii.
Nakuweka kwenye kitabu changu cha mashujaa.
Umetetea mustakabali wa uzao wangu na wengine wengi.
 
Wale waliofanya maandamano ya kihalifu wakachoma mali za watu , walioharibu miundombinu, waliovunja na kuiba mali za watu huku wakiwa wanacheka wamestahili kifo.

Na kwa wale waliopata madhara kutokana na vurugu hizo za wahalifu hali ya kuwa hawakujihusisha na chochote Mungu awaponye, na Marehemu Mungu awalaze mahali pema.

There's no mercy for criminals.
Good
 
Mimi siongezi neno nahisi nitakukosea. Sitaki kupishana kauli nawe.
Naweza kusema tu kwa ufupi na wivu mkubwa natamani ningechelewa kidogo kuzaliwa ningejaribu bahati yangu...
Mkuu nisamehe kwa kauli hii.
Nakuweka kwenye kitabu changu cha mashujaa.
Umetetea mustakabali wa uzao wangu na wengine wengi.
😀😀😀
Basi mkuu nimekuelewa..!!
 
Kumbe unajua mwanzo walikufa wasio na hatia, sasa ni kipi kinachokufanya uwe mwendawazimu?
Ndiyo natambua wapo waliokufa wasio na hatia na wapo waliokufa huku wakiwa wanastahili hicho kifo.
 
Back
Top Bottom