Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Kuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka
Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini nisivute pisi kadhaa nikazipanga nikawa najipimia kwa zamu. Mwanzo nilikuwa natoboka pesa ila imefika kipindi najipimia kwa hisani ya mioyo yao wenyewe kama kuna kibinti cha afu 2 kimeniganda Sana kila weekend lazima kinitafute
Issue inakuja kuwa kwa sasa wife katulia kwenye mkao yani nitakachotaka anafanya mambo zinaenda kama zinavyopangwa yani home ni burudani iwe mchana iwe usiku na kuhusu kuchepuka mke wangu na Mimi pia (japo nilikuwa) ni wafia dini yani swala tano na tupo vizuri kiimani pia
Sasa kila nikitaka kuiacha hii michepuko ni kama haiwezekani maana nishawahi kuiblock Mara kadhaa lakini wananitafuta kwa namba zingine na wanajua kuwa nipo na wife lakini wanasema kwani wakati nawatongoza sikujua kuwa Nina mke so nakosa hoja
Natamani kumshirikisha mke wangu hili swala tushauriane ila nahisi atalichukulia kwa mtazamo tofauti nifanyeje